Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa wachezaji wa Pochettino hawako agressive na mpira kabisa na ndio inayowaangusha

Pia ball contrtol ni mbovu kabisa a wanazidiwa na Woles

Wolve wako na mpira mara chache ila wakipata ball control na agresisveness inawafavours

Too much to watch this Chelsea shit

Mabeki hawajui kutumia miili yao kucheza mpira, wanazuia mashuti kistaharabu mno ona sasa two deflections two goals

Inaanzia kwenye Training, Tunayoyaona uwanjani ni copy n paste kutoka kwenye mazoezi

6 months now tunalalamika kuhusu Poch kushindwa kutengeneza ukuta imara tukipoteza mpira tu tuko vulnerable tunaacha space kubwa
 
images%20(1).jpg
 
Wote wanaomtetea Pochettino wakapimwe mikojo yao haraka sana
 
Caicedo anatengeneza na kuharibu. Ana matatizo gani jamani. Anakaa na mpira hadi anyang'anywe na hajifunzi
May be lile wazo langu la Caicedo kucheza mbele ilikuwa na sense. Kule mbele ni mzuri au apigwe bench, wapewe wale academy nafasi. Yuko Casadei na Castledine ni wazuri
 
• Poche anaendelea kuwapendelea Sterling na Gallagher hata kama hawqchezi vizuri.

• Hakuna pattern ya uchezaji, huu sasa ni mwezi wa sita tofauti na makocha wengine kama akina Ange, Emery, Iraola nk
 
Caicedo anatengeneza na kuharibu. Ana matatizo gani jamani. Anakaa na mpira hadi anyang'anywe na hajifunzi
May be lile wazo langu la Caicedo kucheza mbele ilikuwa na sense. Kule mbele ni mzuri au apigwe bench, wapewe wale academy nafasi. Yuko Casadei na Castledine ni wazuri
Hapana mkuu ni vizuri wachezaji wacheze kwenye position zao. Hapo ni kuharibu mchezaji
 
Mashabiki walimzomea kocha na wachezaji baada ya kipenga cha HT kupulizwa. Mim niliondoka kwenye TV mapema nakuja kuona kwenye twitter buuz za mashabiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom