Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vijana wa kubet hii timu isipowatajirisha ndio basi tena kwenye mechi tano zijazo ni mechi moja tu ndio inaweza pata sare dhidi ya crystal Palace nyingine kama kocha bado ndio huyu msije sema hatukuwaambia
Screenshot_20240204_185500_LiveScore.jpg
 
Hapa Chelsea ndio analazimishwa na ndio maana anacheza vibaya
Caicedo ni box to box midfielder ambaye anacheza mbele zaidi, Ana uwezo wa kukaba lakini anakuwa mzuri akisaidia mashabulizi. Unaweza ita CM maana box to box wengi ni CM. Enzo anajua kukaba zaidi ya Caicedo na kilio ya wengi ni Enzo acheze deep amuachie Caicedo acheza advanced roles
Kwahiyo unataka kusema sasa hivi Enzo ni kiungo mkabaji na Caicedo ni offensive mid? 😂

Mtatafuta kila namna ya kumtetea Caicedo lakini kiuhalisia mmepigwa pakubwa.. Caicedo alikua analindwa na system. Kununua mchezaji wa system kwa £115 mil ni uongo!
 
Ila tuache utani Pocche ni below average coach. Sterling akiwa hana mpira anatembea kama walking dead harudi kusaidia kukaba lakini kocha yupo kwenye kiti haoni tatizo. Hii kocha ina uwezo mdogo sana wa kusoma mchezo.
 
Kwahiyo unataka kusema sasa hivi Enzo ni kiungo mkabaji na Caicedo ni offensive mid? 😂

Mtatafuta kila namna ya kumtetea Caicedo lakini kiuhalisia mmepigwa pakubwa.. Caicedo alikua analindwa na system. Kununua mchezaji wa system kwa £115 mil ni uongo!
Wewe ndie umesema

Caicedo sio attacking midfielder kama unajua soka
Enzo ni Cm
Caicedo ni CM
Wote kwa pamoja ni box to box midfielders
Roles ya Enzo anakuwa mzuri akicheza deep na Caicedo akicheza advanced

Kumbuka Kante alipokuja Chelsea alikuwa akicheza box to box lakini kwenye role ya DM zaidi hadi akawa anajulikana kama DM
Alipokuja Sarri ili amuweke mtoto wake Jorgginho kama regista alimpeleka Kante mbele, hapo haikuwa na maana kwa Kante ni attacking midfielder bali alipewa advance role ambayo baadaye alikuja kuimudu sana ndipo hata makocha waliokuja baada ya Sarri waliendelea kumchezesha advanced role

The same to Caicedo
 
Februari 2023 - Chelsea ya 10 kwenye Premier League - pointi 31 baada ya michezo 23

Februari 2024 - Chelsea ya 11 kwenye Ligi ya Premia - alama 31 baada ya michezo 23

Tumtose kama Yona au tuendelee naye hadi May?
Ila meli isije ikazama
 
Huwezi kufanya jambo lile lile halafu utegemee matokeo mazuri
Huwezi kutumia plan ile ile halafu utegemee matokeo mazuri
Huwezi tumia wachezaji wale wale wanaofanya makosa yale yale halafu utegemee kupata matokeo bora
Huwezi toa speech ile ile iliyojaa visingizio halafu kwa sababu ya matokeo mabaya halafu utegemee mashabiki wakufagilie
 
Kwahiyo unataka kusema sasa hivi Enzo ni kiungo mkabaji na Caicedo ni offensive mid?

Mtatafuta kila namna ya kumtetea Caicedo lakini kiuhalisia mmepigwa pakubwa.. Caicedo alikua analindwa na system. Kununua mchezaji wa system kwa £115 mil ni uongo!

And Poch ameshindwa kutengeneza system ya team nzima hakuna pattern yoyote.
Angalia space inayoachwa wakat hatuna mpira na hata tukiwa na mpira ndio utaelewa
 
Kila goti litapigwa, Hawa ni wale waliokuwa wanaomtetea Poch ila taratibu wanaamza elewa somo

IMG_1775.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom