Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tuendelee kukumbuhsana sababu za Pochettino kutimuliwa PSG

Sababu kuu za Pochettino kufukuzwa
  1. Kukosa itifaki nzuri ya mawasiliano na wachezaji
  2. Performance mbaya kwenye UCL
  3. Kukosa ukatili (agresiveness) wakati wa kushambulia
  4. Kuwa na, matokeo mabaya kwenye mechi za away
Ongeza na tulizoziona tangu aje Chelsea
  1. Upendeleo wa upangaji wa wachezaji hata kama waacheza vibaya na kuwakataa wengine hata kama ni wazuri
  2. Kushindwa kuifanya timu iwe solid huko nyuma
  3. Subs za hovyo hovyo kila mechi
  4. Press coference mbaya na isiyohamasisha wachezaji kujitoa, visingizio kila siku
  5. Mfumo wake wa uchezaji kutofahamika hadi leo
PocheOUT
Nani anakataa
 
Miezi 6 now ila hakuna Muundo wowote ule kuanzia kushambulia mpk kujilinda.

Nafas tunayoacha wakat hatuna mpira mmmh
 
Si kiungo mkabaji, anaunganisha midfield na defence
Hapa Chelsea ndio analazimishwa na ndio maana anacheza vibaya
Caicedo ni box to box midfielder ambaye anacheza mbele zaidi, Ana uwezo wa kukaba lakini anakuwa mzuri akisaidia mashabulizi. Unaweza ita CM maana box to box wengi ni CM. Enzo anajua kukaba zaidi ya Caicedo na kilio ya wengi ni Enzo acheze deep amuachie Caicedo acheza advanced roles
 
Ahsanteni wamiliki kwa MAAMUZI yenu ya ovyo kwenye kuendesha hii timu, Ahsanteni pia kwa kuifanya THE BLUES mid table team.

Nimekubali matokeo nimenyoosha mikono juu.



images%20(2).jpg
 
Akicheza no. 10 au wide winger Jackson anawazidi wengi pale kwa sababu kuu chache

Ana uwezo wa kupokonya mipira
Ana uwezo wa kuhold mpira
Ana uwezo wa kuwatoka mabeki na kutoa assists au strategic passes
Jackson hapendi pasi za kinyumenyume
Bado ni mdogo na ataendelea kukomaa
Tatizo lake kubwa hana confidence na goli basi hapo tu
Hakuna mchezaji hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom