Mkuu hiyo midfield ni kwa sababu Enzo ni majeruhi ndio maana Cucurella anaingilia huko.Cucurella ameibadilisha midfield
Muunganiko wa Gallagher na Caicedo pia no mzuri. Poche kama ana akili asivuruge hii lineup na style ya uchezàji
Hii alitakiwa akifanye siku nyingi. Mlisema hawa wachezaji ni average, mbona sasa wanaçheza vizuro?Mkuu hiyo midfield ni kwa sababu Enzo ni majeruhi ndio maana Cucurella anaingilia huko.
Lakini pamoja na ivyo mmeshasema Poch ni poor coach tusitegemee hiki mnachoomba
Ni kweli asilimia kubwa ni average. Kuwa average haimaanishi kila mechi wataharibu.alitakiwa akifanye siku nyingi. Mlisema hawa wachezaji ni average, mbona sasa wanaçheza vizuro?
Pamoja na ingia toka ya wachezaji ikisababishwa na majeruhi, kiwango kidogo huwezi ku stick kwenye mfumo mmoja tu.Pre-season alikuwa na plan nzuri. Alimtumia Maatsen vizuri, ila ligi imeanza akavuruga kila kitu. Huyo ni kocha mbovu tu, it is too late kuja kumjua Cucu ni mzuri kwenye inverted LB
Ni kweli asilimia kubwa ni average. Kuwa average haimaanishi kila mechi wataharibu.
Thats the reality bro. Mkuu jifunze kuukubali ukweli hata kama kwako unahisi sio ukweli basi yaelewe maoni ya mtu mwingine. Hii itakusaidia kuondokana na hasira ndogo ndogo ukikutana na comment ambayo ipo kinyume na maono yakoI am so sick unapong'ang'ania neno average. So sick and tired
Kama ulifatilia game za Pre Season utaelewaMkuu hiyo midfield ni kwa sababu Enzo ni majeruhi ndio maana Cucurella anaingilia huko.
Lakini pamoja na ivyo mmeshasema Poch ni poor coach tusitegemee hiki mnachoomba
Hakuna game ya Chelsea sijaifatilia. Naelewa kila mnachozungumzaKama ulifatilia game za Pre Season utaelewa
Kulikuwa na haja ya kubadilisha mbinu wakat wa league??Hakuna game ya Chelsea sijaifatilia. Naelewa kila mnachozungumza
Kwamba timu gani duniani kwasasa haina average players kwenye first 11 kama wewe kweli mpenzi wa mpira, average players inafichwa na mbinu ya mwalimu.Pamoja na ingia toka ya wachezaji ikisababishwa na majeruhi, kiwango kidogo huwezi ku stick kwenye mfumo mmoja tu.
Yes ni Poch ni poor ila ni pamoja na Chelsea yote.
Hongera chelsea