Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabla sijajibu hili lako swali niambie style ya uchezaji wa Chelsea ni ipi?

Ndio maana nakwambia hatuna style kocha anamiezi 6 now kashindwa kuimplement hicho kitu

Msitake kuleta habar sijui za Roman, Roman hakujali hicho alikuwa anataka kwa matokeo na ndio maana kwa Poch kama angekuwa kwa Roman tangu october huko angekuwa ashafukuzwa.

Ila kwa Clearlake n Boehly Consortium wanaomini project je katika hiyo miezi 6 umeona kuna kitu chochote Poch amekiongeza???
 
Nasikia Dressing room mambo sio shwari hata kwa wachezaji. Wameshindwa kumuelewa kabisa Pochettino. mbinu zake hazieleweki, mfumo wake haueleweki na ndicho tunayoona uwanjani, wachezaji wanacheza kama vile wameokotwa siku ya mechi. kujienda hovyo uwanjani, wengine hata hawafanyi runs za maana

Mchezaji wa kwanza kusukumiziwa Uarabuni ni Sterling, itamkuta kilichowakuta akina Kopilibaly
 
Pamoja na Pochettino ni tatizo ila sio mzizi wa matatizo
Tangu waje hawa wamarekani wamebadili ule utamaduni wa Chelsea kushinda makombe
Wenye roho nyepesi muwahi kutafuta siti kwenye mabasi mengine maana hili basi letu la KAMATA linaenda umbali mrefu na kwa kusua sua, polepole na spana mkononi
Huo ndio ukweli
 
ETH "You play as you train"

TUACHE MASIHARA
humu huwa mnajadili nini???
 
Kwani mwanangu mudi hajacheza leo?
20240204_230058.jpg
 
Mwingine huyu, naye alikuwa akimtetea Pochettino apewe muda wa kuinoa timu ainue vipaji. Sasa kageuka
1707077469747.png

Kilichonishangaza ni kuwa Kocha wa Woves timu yake ilikuwa vizuri na tayari ilikuwa na uhakika wa kupata ushindi ila yeye ndiyealizidi kuamasisha timu ila Poch wa Chelsea yeye ametulia anabinua tu pua....yele Poch ni chizi inabidi apimwe akili.
 
Makocha wote uliowataja hapo Conte,Sarri, hakuna hata wachezaji wa sasa alikuwa hapo

Tuchel ni Sterling,Silva,cucurella,James n Chilwel wengine wote niwapya

Lampard interim

Poch almost Team yote ameanza nayo Tangu pre season sehem ipi ya uwanja tunaonekan ni bora kuliko team zingine, style yetu ya uchezaji ni ipi huwez jibu hili swali,

Wachezaji ambao unasema ni wabovu almost team zote kubwa zilikuwa zinawahitaji.
Wanacheza kama wameokotwa Kariakoo siku ya mechi tu bila mazoezi
Hata kama Wamiliki ni wabaya ila ubaya wao ni kutuletea kocha asiyejitambua
Rudia kitu kile kile hata kama hakina manufaa kama Punda
Timu inatoboka kama gunia la mkaa
TT na Conte walipochukua timu hadi raha
wote waliswitch kwenye formation inayowafaa wachezaji a timu ikawa solid
TT kibinafsi hakuwa na wachezajiw azuri wa kufunga ila bado akashinda UCL kwa magoli machache mno
 
Nasikia Dressing room mambo sio shwari hata kwa wachezaji. Wameshindwa kumuelewa kabisa Pochettino. mbinu zake hazieleweki, mfumo wake haueleweki na ndicho tunayoona uwanjani, wachezaji wanacheza kama vile wameokotwa siku ya mechi. kujienda hovyo uwanjani, wengine hata hawafanyi runs za maana

Mchezaji wa kwanza kusukumiziwa Uarabuni ni Sterling, itamkuta kilichowakuta akina Kopilibaly
Kwanza mie sijawahi kumuelewa Rahim hata siku moja nashangaaa Chelsea wakamokota kazi
 
Unasikia kutoka wapi?
Nasikia Dressing room mambo sio shwari hata kwa wachezaji. Wameshindwa kumuelewa kabisa Pochettino. mbinu zake hazieleweki, mfumo wake haueleweki na ndicho tunayoona uwanjani, wachezaji wanacheza kama vile wameokotwa siku ya mechi. kujienda hovyo uwanjani, wengine hata hawafanyi runs za maana

Mchezaji wa kwanza kusukumiziwa Uarabuni ni Sterling, itamkuta kilichowakuta akina Kopilibaly
 
Hii timu mashabiki wapo serious kuliko wachezaji. Wachezaji na kocha wao wakikaa wanashangaa jinsi mashabik walivyo serious utadhani wao ndo wanaingia uwanjani
IMG_20231207_072729.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom