Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 31,983
- 64,013
Sioni maajabu ya Juve kutokea. Mmeshapita.Hahahaaa, you're so funny buddy.
Porto walipiga mpira, sema tu walizidiwa kwenye kutumia makosa yetu. Wao walipata nafasi nyingi sana na hawakutumia makosa yetu ipasavyo. Sisi tulipata nafasi tukazitumia. Na ndio mpira ulivyo.
Wajipange tu. Ila Sergio ni kocha mzuri atafika mbali sana!