3+5+2 kipindi cha Conte ilikua inafanya kz sn tu.
Labda utakua umesahau maana kati kati alikua anakaa Kante, Matic na Fabrigas then huko juu anakaa Hazard na Costa....
Hata sasa ktk game tunazo kwenda kucheza hasa hizi za Madrid tunahitaji kua na huo mfumo. 3+5+2 yaani tunahitaji Kante, Kovacic na Jorginho wote wacheze kwa wakati mmoja hapo kati na huko mbele Pulisic acheze na Timo au Timo acheze na Mount.
Maana ata ktk kukaba huu mfumo ni mzuri mna switch tu unakua 5+3+2 na km mnavyojua Kovacic na Kante walivyo na uwezo wa kukimbia ni hatari na kwambia...