Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kai Havertz dogo bado ana mawenge sana, leo angetumia zile nafasi vizuri basi alikuwa anafunga goli tatu yeye mwenyewe.
 
Yaani kaingia Reece James Zaha ameacha kufurukuta ameamua kumchezea rafu James.
TT angekuwa anamchezesha Odoi kwenye winga tu. huku nyuma hawezi kudefend
Lengo la kocha Leo lilikua ni kushambulia kwa nguvu na ndio sbbu umeona Odoi ameanza na Muda mwingi Odoi alikua juu tu huko anawasumbua tu Crystal Palace

Leo nimemfikiria sn Thomas Tuchel sijapata majibu maana nashindwa kuelewa Lampard alikua anafeli wp? Maana wachezaji ni hawa hawa lkn viwango vyao viko juu ni balaa..
 
Utofauti wao upo kwenye mbinu na matumizi sahihi wachezaji hivyo vitu viwili Lampard alikuwa Hana.
 
Lakini pia Lampard yuko formal wakati Tuchel yuko friendly na wachezaji, Lampard anaweka visasi (hii mbaya kwa sababu inashuhsa morale ya wachezaji) Tuchel yeye akimkasirikia mchezaji inaisha hapo hapo. Mfano kesi ya Odoi kuingizwa na kutolewa TT alikasirika ila akasema hasira yake imeishia hapo hapo. Leo hii TT anacheka na Odoi kama kawaida kama vile hakuna kitu kiliwahi kutokea. Next match TT alimpanga Odoi, Lampard angempiga ban kwanza kama alivyofanya kwa Rudiger, Alonso, Kepa nk

TT anajua kuinspire, kuhamasisha, nk, Lampard alikuwa hawezi kabisa kuhamasisha mentality ya wachezaji ipande juu

Sub za TT tofauti na za Lampard,
Formation za TT tofauti na FL. example, FL alikuwa anatabirika hata na sisi tusiojua mpira tunajua leo atamtoa nani na atamuingiza nani. Formation ile ile hata kama haileti matokeo, wachezaji wale wale hata kama hawaleti matokeo.
TT ana uzoefu wakati FL hakuwa na uzoefu wowote.

Katika mechi moja TT anaweza akabadili formation 2 hadi 4, FL ni formatiopn moja kwenda mbele
 
Nafuatilia eclasico RMA vs Barca
Hadi sasa ni 2-0
Barcelona wanamiliki hadi 70% kama Chelsea lakini RMA wakipata m,pira ni moja kwa moja counter attack wamekosa kosa magoli mengi
Tukicheza nao watatuumiza kwenye counter, TT anatakiwa kulifanyia kazi hilo
 
Wengine wanapumzishwa lakini Mount hapumziki. Game 40 kashacheza kwa Chelsea na game 50 pamoja na England bila kuchoka na bila majeruhi, Je akifikisha miaka 25 atakuweje?
 
Ataungana na wenzie kina Walcott hahaha...vijanaa wakingereza sio wakuwekea dhamana kabisa
 
Ni moto.

Next season Tuchel atavunja hii record ya Mourinho
IMG_20210411_161030.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom