Chelsea hawachezi vizuri kama walivyocheza na Atletico Madrid. Makosa makosa mengi, Jorginho anacheza rafu na wachezaji wengi wanapoteza mipira hovyo japo wanamiliki mpira kwa 70% kama nilivyotabiri huko nyuma
Kai na Werner wanapaswa kupigwa sub. Jorginho pia naona hajatulia kati. Apigwe sub pia. Mbele hawakaina mipira kabisa!

Porto wamecheza vizuri sana. Wako haraka na wana mbinu nyingi. Beki ya Chelsea imejitahidi sana kuzuia madhara!
 
PSG wamefanya vitu vyao kama walivyowafanyia Barcelona. Bayern Munich maisha yao sasa magumu kwa sababu wanatakiwa kurudisha chenji ya magoli 3 tena ugenini
 
Chelsea game ijayo na Porto wanapaswa kucheza na viungo watatu. Maana kwa viungo wawili hawa Porto wanaweka marking kubwa sn kiasi wanashindwa kuchezesha mipira na inabidi Chelsea itumie sn kucheza pembeni.

Game ijayo Kante na Jorginho na Kovacic wote hawa waanze alafu Giroud na Meson Mount hawa wakae huko mbele tu.

Alafu huku nyuma wabaki hivyo hivyo km alivyo panga Leo maana Porto ktk game ijayo watakuja wakali sn na wana kasi na mbinu na movu za hatari.
 
Hatari sana. Nimeona wanavyocheza Chelsea wasingekuwa makini tungelala na viatu. Naamini kocha kaona atafanyia kazi.
But all in hongereni wanachelsea tumechez vizuri na tumeshinda
 
Sasa tuanze mikakati ya kuikabili Real Madrid.

Maana Liverpool si rahisi kupindua matokeo.

Yaani hawa Madrid inabidi kuwakamata wale viungo wao watatu. Modric, Kloos na Casamilo...

Hii ndio roho na injini ya Madrid.

Alafu ndio tuwakabe wale madogo kina Jr, na Asensio Vasquez na Benzema....

Hapo lazima tucheze na sisi na viungo watatu Hii double six itazidiwa.
 
Hatari sana. Nimeona wanavyocheza Chelsea wasingekuwa makini tungelala na viatu. Naamini kocha kaona atafanyia kazi.
But all in hongereni wanachelsea tumechez vizuri na tumeshinda
Wametusumbua sn

Yaani viungo wetu wa Leo walishindwa kufanya building up ya mashambulizi.

Maana jamaa walikua wanacheza 5+4+1

Lkn Hii 5+4+1 ilikuwa inajitega kimtindo.

Yaani wanakua 4+1+3+1

Hawa wanne wa nyuma walihakikisha Timo na Kai hawachezi kabisa na mipira haiwafikii.

Alafu huyo mmoja juu ya mabeki alihakikisha Mount hapo kati hafurukuti na ndio sbbu Mount alilazimika kua anatokea pembeni lkn sio nyuma ya Kai. Yaani hapo kati palikua pagumu.

Alafu hao watatu nao wakahakikisha Kovacic na Jorginho hawafanyi build up yoyote na muda wote waka wamekabwa huku striker ya Porto yule jamaa mweusi nae anarudi kuwasumbua kina Kovacic pamoja na beki zetu za kati.

Tumejikuta tunalazimishwa kucheza pembeni kwa kuwategemea kina James na Ben au kupiga pasi ndefu kutoka kwa Christiansen na Azpilicueta. Na ambazo hazikua nzuri.

Yaani Porto wametusumbua sn sema ni kwamba wamekosa umakini tu ktk kutumia nafasi zao maana wametengeneza nafasi nyingi na walistahili kupata magoli.
 
Mkuu hiyo 4 1 3 1 naamini umekosea.

Kama hujakosea itabidi utuambie alipoenda mchezaji mwingine.

Pia Porto walicheza 4 4 2.
 
Tafuta coment yangu niliyokoment siku hiyo. Mimi nilikubali matokeo na sikutowa lawama kwa mtu yeyote. Mpira ni mbinu mkuu
Kiukweli komenti ya hivyo haikua yako zilikua random comments zilizoandika hivyo.
 
Back
Top Bottom