juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Kijana wa Pochetino upoChelsea ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani wakiombeleza timu yao imewambwa msalabani.
Kijana wa Pochetino upoChelsea ikicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani wakiombeleza timu yao imewambwa msalabani.
Nmekutana na h comment kwenye mada ya makalio ya kuvaa 😂Makalio ya bluu kama jezi ya chelsea
Mi simoNmekutana na h comment kwenye mada ya makalio ya kuvaa 😂
Wana chelsea tumetangaza vita na ww, huwezi kutuzalilisha hv 😂Mi simo
Hii na goli 5 za arsenal upi ni udhalilishaji?Wana chelsea tumetangaza vita na ww, huwezi kutuzalilisha hv 😂
Tuache 😂Hii na goli 5 za arsenal upi ni udhalilishaji?
Nyie ni sikio la kufaTuache 😂
Next season tunarudi vzrNyie ni sikio la kufa
Labda na jezi iliyokolea rangi ya blue vizuriNext season tunarudi vzr
Tulia bwana mdogo mambo yatakaa vzr soonLabda na jezi iliyokolea rangi ya blue vizuri
Tatizo hamna falsafa ya kujenga timuTulia bwana mdogo mambo yatakaa vzr soon