Predicted Line up today
1603855836027.png
 
Mkuu alichukua Europa League dhidi ya Arsenal. Alimaliza nafasi ya 4 kwenye League. Alipandisha viwango vya Ruben Loftus Cheek na Odoi. Alicheza pira biriani, sambusa, kachori mixer Al Kasus, tende na pweza.

Lakini bado akasurubiwa na mashabiki. Sasa hivi wamehamia kwa Lampard(unexperienced) niwie radhi kwa maelezo marefu kwa swali ulilouliza nahisi utakua hufahamu vitu vingi vinavyoendelea kwenye club yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Southern Highland nakusahihisha sarri alimaliza nafasi ya 3 sio ya 4 Kama ulivyosema.
 
Hivi ni kitu gani ambacho

Mfumo bora wa Lampard ni 343, hiyo mingine 433, 4231 tunaishia kufanga na kusawazishwa, timu inakuwa na gaps kibao.

Huu mfumo wa 343 auboreshe kule mbele Kwenye umaliziaji.

Pulisic Werner Ziyech

Chilwell Kovacic Kante James

Zouma Thiago Azip

Mendy
Kikosi kimesimama. Sasa utashangaa lampard leo atakavyopanga kikosi chake!. Wakat hata sisi huku tunamshinda kupanga kikosi. Ndio utajua lampard hamna kitu mule.
 
Ni kwamba fans wa blues Amna access ya mtandao ili mjadili mechi yenu ya UEFA ama mshajichokea na timu yenu ???

Mmeona kikosi Cha super Frankie ??? Rudiger wenu mnampigia kelele hachez haya Leo yumo, ngoja achomeshe akili ziwakae sawa !!!
 
Unawashwa na nn c utulie
 
Ni kwamba fans wa blues Amna access ya mtandao ili mjadili mechi yenu ya UEFA ama mshajichokea na timu yenu ???

Mmeona kikosi Cha super Frankie ??? Rudiger wenu mnampigia kelele hachez haya Leo yumo, ngoja achomeshe akili ziwakae sawa !!!
Mtu kala nne huko acha kelele..
#CFC 💙💙
 
Hivi ni kitu gani ambacho

Mfumo bora wa Lampard ni 343, hiyo mingine 433, 4231 tunaishia kufanga na kusawazishwa, timu inakuwa na gaps kibao.

Huu mfumo wa 343 auboreshe kule mbele Kwenye umaliziaji.

Pulisic Werner Ziyech

Chilwell Kovacic Kante James

Zouma Thiago Azip

Mendy
Bado una maoni 4-3-3 ni mfumo mbaya
 
Cheltako kacheza na kipalila cha magotini.
Timu haijulikani hata inchi gani inatokea!?
 
Back
Top Bottom