Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

He made another clean sheet 😍🔥🔥
Screenshot_20201028-234346.png
 
Ni kwamba fans wa blues Amna access ya mtandao ili mjadili mechi yenu ya UEFA ama mshajichokea na timu yenu ???

Mmeona kikosi Cha super Frankie ??? Rudiger wenu mnampigia kelele hachez haya Leo yumo, ngoja achomeshe akili ziwakae sawa !!!
Una la kuongea sahii?
 
Kubishana na wewe ni kujidharaulisha tu.
Ni wewe kiazi ndiyo usiyejua kitu, kwani hao waliopanga makundi ya UCL si waliona team ina deserve?

Hujui kitu keep quit, sio lazima na wewe uonekane umetype comment yako.
Kama vipi njoo kwa PM nikupe ndonga za pesa.
Nina imani Ollachuga hata mind mimi kuwa shemeji yake.
 
Cheltako makundi ata tusua, safari yake inaishia 16 bora.

Hutaki sikushikii panga.
 
Nimekuja kuwakera kidogo Ollachuga Oc 😂😂😂 jana kuanzia mida ya saa 2 kasoro usiku JF ilipigwa pin nahisi maana kwangu ilikuwa haipatikani kabisaa
Yah n kweli kuna muda ilikuwa haipatikani lkn nkashangaa nikiingia kupitia freebasics ndo naipata
 
Mpiga penat wetu anapiga penat kama vile anavuka mtaro
Werner ateuliwe kama mpiga penati rasmi wa timu. Ile penati ya Werner ndio aina ya penati tunazozitaka za kibabe na ufundi wa hali ya juu.

Joginho hayuko serious na penati zake za kivivu kurukaruka bila sababu ya msingi.
 
Yaani anapiga kama Hari Kane, safi sana. Upigaji wa Jo mimi siupenda, Kipa mzuri anadaka.
 
Werner ateuliwe kama mpiga penati rasmi wa timu. Ile penati ya Werner ndio aina ya penati tunazozitaka za kibabe na ufundi wa hali ya juu.

Joginho hayuko serious na penati zake za kivivu kurukaruka bila sababu ya msingi.
Mbona penati zake nzuri tu man..imetokea bahati mbaya imegonga post lkn alikuwa kamuuza kipa vizuri tu....Bruno ,jorghino n moja ya penalty takers wazuri EPL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom