Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimekuja kuwakera kidogo Ollachuga Oc ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jana kuanzia mida ya saa 2 kasoro usiku JF ilipigwa pin nahisi maana kwangu ilikuwa haipatikani kabisaa
Sisi hatuna habari nao maana tuna vpnenika hapa ni mwendo wa kupiga kimya kimya watashangaa tuko fainali ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Natumaini uko salama Sister..
 
Nimekuja kuwakera kidogo Ollachuga Oc ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jana kuanzia mida ya saa 2 kasoro usiku JF ilipigwa pin nahisi maana kwangu ilikuwa haipatikani kabisaa
Sisi hatuna habari nao maana tuna vpnenika hapa ni mwendo wa kupiga kimya kimya watashangaa tuko fainali ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Natumaini uko salama Sister..
 
ni yule willian alietoa assist 3 uyu
IMG-20201029-WA0011.jpg
 
Mbona penati zake nzuri tu man..imetokea bahati mbaya imegonga post lkn alikuwa kamuuza kipa vizuri tu....Bruno ,jorghino n moja ya penalty takers wazuri EPL
Kwa kipa mzuri anadaka, shooting yake inatumia nguvu kidogo na inategemea kumuhadaa kipa, akikutana na kipa anayejua naye kuhadaa hizo penalti wala sio za kupangua ni za kudaka kabisa
Kumbuka pia kuwa katika penalti nne alizopiga Jo msimu huu kashakosa 2, moja ya Liverpool na ya pili ndio hii, hii ni ratio mbovu kabisa na sasa Lampard anapanga kuongea na squad nzima ili wakubaliane nani awe chaguo la kwanza kwenye kupiga penalti ambaye obviously atakuwa Timo Werner
 
LAMPARD ON TONI FIRST DEBUT OF THE SEASON
Antonio Rudiger was handed his first appearance of the season against Krasnodar and Lampard was impressed with his performance at the back.

"Very pleased with Rudiger and Zouma," Lampard added.

"Didn't have doubts over Toni.

"Very pleased with his concentration levels to have a real desire to keep his clean sheet.

"Not easy to keep five centre backs happy but we need that level of competition to move forward."
 
Chelsea player ratings vs Krasnodar

Mendy 7

Couple of good saves kept Chelsea cool in a shaky first half. Commanded his area well.

Azpilicueta 7

Steady as ever and got forward really well to set up several chances.

Rudiger 6

Recalled for his first game of the season. Nervous and unsure on the ball but not punished.

Zouma 7

Put under pressure by the Russians but kept battling and was brave and strong.

Chilwell 6

Gave the ball away far too often early on. But slowly settled down and provided some good crosses.

Kovacic 7

Neat and tidy in the middle and tried to get Chelsea going, but lacked penetration.

Jorginho 7

Missed his second penalty of the season. Will Frank persevere with him? Fought back well though.

Ziyech 7

Made some good runs on his first start for Chelsea since his move from Ajax and took his late goal very well.

Havertz 7

Gave the ball away and has a habit looking too languid. But clever and set up the first goal.

Hudson-Odoi 7

Surprise starter and looked dangerous whenever he got the ball. Scored his first Champions League goal - with a bit of luck.

Werner 8

Worked as hard as ever, made some great runs. Slammed home his penalty with no doubt and set up the third goal. Excellent.

Subs

Pulisic - earned the penalty with his shot. Grabbed a fortunate late goal, 7

Kante - steadied the ship in the middle, 6

Mount - worked hard, 6
 
BURNLEY ameanza ligi vibaya Win - 0, Draw- 1 & Lose 4, lakini utashangaa atamkia kwa Chelsea.
Hich kitu misim mingi huwa kinatutokea. Kuna wakat sijui alikuw morinho crystal palac alicheza game nying bila ushindi ila akaja kutufunga sisi

Mechi ya leo natumai tutashinda
 
Hich kitu misim mingi huwa kinatutokea. Kuna wakat sijui alikuw morinho crystal palac alicheza game nying bila ushindi ila akaja kutufunga sisi

Mechi ya leo natumai tutashinda
Tukiwa chini ya babu Sarri kibonde Huddersfeld utd alitupiga goli 5, Lampard msimu ulioisha South alishtukiza 4 darajani.
 
Werner leo kaanzia bench

Tumeingia na 433
Mendy
Rj thiago zouma chil
Kante mount havertz
Ziyech abraham Pulisic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom