Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,937
- 27,199
Siyo kushupaza shingo shida ni kwamba fans wengi hasa wa Chelsea hawajui wanachotaka. Kipindi cha Sarri tulcheza mpira mzuri lakini alikosa wqchezaji ndio maana tulikua tunafunga magoli machache lakini assume hawa wachezaji waliopo wangekua kipindi cha Sarri unafikiri ingekuaje? Pamoja na hayo lakini washabiki wengi wakamkataa. Tukaletewa Lampard sasa hivi mnalialia tu hakuna kinacho angaliwa na kesho tuna game ya UEFA watu wamekakamaa kumjadili Lampard.Leo ndio nimeelewa msimamo wako. Kumbe tupo pamoja ila wakati mwingine unashupaza shingo.
Umenikumbusha sarri ball ilikuwa moto kwenye possession 73 kwa 27, pass 7000 per match ila kupata matokeo ilikuwa changamoto. Pass mpaka lango la adui, tunaingia tunatoka.
Pengine sarri angeachwa msimu wa pili angekuja na plan B ya uhakika wa kushinda mechi kama ulivyosema.
CONTE & SARRI walikuza vipaji vya wachezaji. Ikumbukwe Mosses amesharudi Chelsea yupo kwa sasa lakini kwenye list ya wachezaji 25 hayupo.
Tutalalamika sana otherwise board yenyewe iamue kumtoa otherwise itakua mnalialia na hakuna kitu Marina atamfanya Lampard kwa sasa. Cha muhimu tuendelee kuangalia kilichopo na kujua tunafanyaje lakini vilio vya kila siku tunashindwa wengine kama mimi kuchangia current issues za timu yetu. Kesho tuna game na Krasnodar UEFA lakini hatuongelei kabisa. Wacha Lampard aendelee kutamba mpaka mkataba wake utakapoisha kwq sababu hata akija kocha mwingine atasifiwa baada ya msimu mmoja tutaanza kulia lia tena. Ndio itakua process yenyewe kwa sababu hatujui tukitakacho
