We jamaa nimekufuatilia comments zako kwa muda mrefu.
Ukweli ni kwamba huwa unajichanganya mwenyewe, kuna muda unakuja vizuri kimawazo muda mwingine maruweruwe.
Mchezaji hawezi kupigwa bechi kila siku eti kwa sababu ameboronga dk 46 za mchezo. World classic players kibao duniani huwa kuna mechi wanaboronga, kila siku huwezi kuwa fit kiakili na kimwili.
Mtoto Mount kila siku anaboronga lakini mbona anapangwa kucheza mara kwa mara sembuse Kovacic mchezaji bora wa club 2019/20?
Jibu ni kwamba Lampard ni mbinafsi, muaji wa vipaji, hana mbinu, kigeugeu, anatapatapa, mfa maji, mti aliouopanda sasa unateleza hana pa kujishika na ataangukia shingo