BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 4,795
- 8,496
MazishiiiiNext 6 fixturesView attachment 1265275
MazishiiiiNext 6 fixturesView attachment 1265275
Imeshakua confirmed Mou anarudi EPLMauricio Pochettino sacked
Baada ya miezi 6 ya kuifikisha Spurs kwenye finali ya UEFA na baada ya miaka 4 ya kuiwezesha Spurs kushiriki UEFA mfululizo Mauricio anafukuzwa kazi ya kuifundisha Spurs. Katika zama zake Mauricio hakuweza kuipa Spurs kikombe chochote japo ameinua jina la timu na kuwafurahisha mashabiki ambao hadi anafukuzwa bado waliamini Potechimo ndie pekee ambaye angeweza kugeuza matokeo mabaya ambayo timu imeanza nayo msimu huu. Daniel Levy anasema Mauricio ni kocha mzuri na alikataa offa nyingi kutoka kwenye klabu bora za EPL hata wakati timu inapitia wakati mgumu wa bajeti kwa sababu ya ujenzi wa kiwanja. Wanasema wamefanya maamuzi magumu kwa faida ya timu.
Hivi sasa Daniel Levy ambaye ni mpenzi mkubwa wa Jose Mourinho anajianda kufanya nae mazungumzo ya kuichukua timu, mazungumzo yatalenga Zaidi kwenye usajili wa wachezaji wapya watakaoipa Spurs sura na mwelekeo mpya
Baada ya pochetino next ni Emery then Ole
Mauricio hatakaa benchi sana kwa sababu mashabiki wa Man U wameanza kushinikiza Mauricio achukuliwe kuinoa Man U badala ya OleNawakumbusha wale waliosema Lampard atakua kocha wa kwanza kutimuliwa EPL. Vigenge vya kahawa na kuongea umbea hasa vya Man Utd, Arsenal na Liver ndio mijadala iliongoza huko.
Wanaumia sasa kuona timu inafanya vizuri
Mkuu siyo Wanyama tu hata Ndombele ndio utauona moto wake. Harry Kane lazima arudi kwenye makali yakeMorinyo mzee wa matokeo, Tutarajie kuona tote inaongoza goli 1 kinachofuata wanapark basi. Wanyama lazima arudi 1st eleven hao ndio aina ya wachezaji wa morinyo nguvu nyingi kukaba sana.
Pamoja na majembe alokua nayo Poch akiwa Tot kashindwa. Vile vitoto ataviweza kweli?Mauricio hatakaa benchi sana kwa sababu mashabiki wa Man U wameanza kushinikiza Mauricio achukuliwe kuinoa Man U badala ya Ole
TOT wachezaji ndio wamemfanyia hila ili aondoke mbona hii iko wazi!Majembe alokua nayo Poch akiwa Tot kashindwa. Vile vitoto ataviweza kweli?
Ila mashabiki bado walikuwa na imani naye...TOT wachezaji ndio wamemfanyia hila ili aondoke mbona hii iko wazi!
TOT wachezaji ndio wamemfanyia hila ili aondoke mbona hii iko wazi!
Hilo ni swali la kitoto mno, wee taarifa za huko Uingereza huwa unazipataje, huwa unaongea nao?Wewe umejuaje uliwahi kuongea na lucas moura wakakwambia hivyo?
Hilo ni swali la kitoto mno, wee taarifa za huko Uingereza huwa unazipataje, huwa unaongea nao?
Tangu lini tumeanza kudaiana vyanzo vya habariSi ndo maana nimekuuliza umejuaje?
Lete chanzo cha habali yako
Hawa wachezaji hawako na furaha kuichezea tena SpursSi ndo maana nimekuuliza umejuaje?
Lete chanzo cha habali yako
Hawa wachezaji hawako na furaha kuichezea tena Spurs
Hao ndio injini ya timu na hawako na furaha wengine walitaka kuhama tangu msimu uliopita, wote tunajua jinsi Ericksen alivyotaka kutoka na inawezekana kawekewa kizingiti na sasa hana furaha
- Eriksen
- Vertonghen
- Alderweirld,
- Danny Rose
Huyu hamnazo hivi anadhan Spurs inawategemea hao tu! Eti ndo engine ya timu vipi kuhusu Kane,Son na Dele Ali hao sio key players. Ndo mana mwenzio anaamini huna kitu kichwani mwakoIvi wewe jamaa kichwani zimo kweli?
Kwa hiyo un ataka kusema Spurs haimtegemei Ericksen au Vertonghen au Danny Rose au Alderweirld !!Huyu hamnazo hivi anadhan Spurs inawategemea hao tu! Eti ndo engine ya timu vipi kuhusu Kane,Son na Dele Ali hao sio key players. Ndo mana mwenzio anaamini huna kitu kichwani mwako
Sijamtaja Son, Kane wala Dele kwa sababu hao hawako kwenye list ya wachezaji wasio na furaha pale Spurs na kumbuka hawa wanacheza namba tofauti na tunaposema mchezaji ni injini ina maana yuko first XI kwenye namba yakeHuyu hamnazo hivi anadhan Spurs inawategemea hao tu! Eti ndo engine ya timu vipi kuhusu Kane,Son na Dele Ali hao sio key players. Ndo mana mwenzio anaamini huna kitu kichwani mwako
Nyie kila mchezaji mnamtaka.....Eriksen tumchukue january