Mauricio Pochettino sacked
Baada ya miezi 6 ya kuifikisha Spurs kwenye finali ya UEFA na baada ya miaka 4 ya kuiwezesha Spurs kushiriki UEFA mfululizo Mauricio anafukuzwa kazi ya kuifundisha Spurs. Katika zama zake Mauricio hakuweza kuipa Spurs kikombe chochote japo ameinua jina la timu na kuwafurahisha mashabiki ambao hadi anafukuzwa bado waliamini Potechimo ndie pekee ambaye angeweza kugeuza matokeo mabaya ambayo timu imeanza nayo msimu huu. Daniel Levy anasema Mauricio ni kocha mzuri na alikataa offa nyingi kutoka kwenye klabu bora za EPL hata wakati timu inapitia wakati mgumu wa bajeti kwa sababu ya ujenzi wa kiwanja. Wanasema wamefanya maamuzi magumu kwa faida ya timu.
Hivi sasa Daniel Levy ambaye ni mpenzi mkubwa wa Jose Mourinho anajianda kufanya nae mazungumzo ya kuichukua timu, mazungumzo yatalenga Zaidi kwenye usajili wa wachezaji wapya watakaoipa Spurs sura na mwelekeo mpya
Imeshakua confirmed Mou anarudi EPL
 
Nawakumbusha wale waliosema Lampard atakua kocha wa kwanza kutimuliwa EPL. Vigenge vya kahawa na kuongea umbea hasa vya Man Utd, Arsenal na Liver ndio mijadala iliongoza huko.

Wanaumia sasa kuona timu inafanya vizuri
 
Mauricio hatakaa benchi sana kwa sababu mashabiki wa Man U wameanza kushinikiza Mauricio achukuliwe kuinoa Man U badala ya Ole
 
Si ndo maana nimekuuliza umejuaje?

Lete chanzo cha habali yako
Tangu lini tumeanza kudaiana vyanzo vya habari
Maelezo yangu yamebase na wachezaji walivyocheza tangu ligi ianze na ndio maana nikasema "HII IKO WAZI" you don't need the source for what!
Wachezaji wamecheza vyongo ili kopcha afukuzwe
Labda wewe ukamuulize Harry Kane anaweza kuwa na jibu Zaidi ya Moura
 
Si ndo maana nimekuuliza umejuaje?

Lete chanzo cha habali yako
Hawa wachezaji hawako na furaha kuichezea tena Spurs
  1. Eriksen
  2. Vertonghen
  3. Alderweirld,
  4. Danny Rose
Hao ndio injini ya timu na hawako na furaha wengine walitaka kuhama tangu msimu uliopita, wote tunajua jinsi Ericksen alivyotaka kutoka na inawezekana kawekewa kizingiti na sasa hana furaha
 
Ivi wewe jamaa kichwani zimo kweli?
Hawa wachezaji hawako na furaha kuichezea tena Spurs
  1. Eriksen
  2. Vertonghen
  3. Alderweirld,
  4. Danny Rose
Hao ndio injini ya timu na hawako na furaha wengine walitaka kuhama tangu msimu uliopita, wote tunajua jinsi Ericksen alivyotaka kutoka na inawezekana kawekewa kizingiti na sasa hana furaha
 
Huyu hamnazo hivi anadhan Spurs inawategemea hao tu! Eti ndo engine ya timu vipi kuhusu Kane,Son na Dele Ali hao sio key players. Ndo mana mwenzio anaamini huna kitu kichwani mwako
Kwa hiyo un ataka kusema Spurs haimtegemei Ericksen au Vertonghen au Danny Rose au Alderweirld !!
Just expose your empty brain here
 
Huyu hamnazo hivi anadhan Spurs inawategemea hao tu! Eti ndo engine ya timu vipi kuhusu Kane,Son na Dele Ali hao sio key players. Ndo mana mwenzio anaamini huna kitu kichwani mwako
Sijamtaja Son, Kane wala Dele kwa sababu hao hawako kwenye list ya wachezaji wasio na furaha pale Spurs na kumbuka hawa wanacheza namba tofauti na tunaposema mchezaji ni injini ina maana yuko first XI kwenye namba yake
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom