Real Madrid
PSG
Barcelona

Hizo ndiyo Timu Pekee zenye uwezo wa kununua wachezaji zaidi ya £150m

Vigezo ni kuwa Bajeti zao za Manunuzi ni kubwa na hawategemei Sell to buy
PSG sio class, hawajui business na ndio maana ukija kwenye timu Tajiri hawapo
 
Real Madrid
PSG
Barcelona

Hizo ndiyo Timu Pekee zenye uwezo wa kununua wachezaji zaidi ya £150m

Vigezo ni kuwa Bajeti zao za Manunuzi ni kubwa na hawategemei Sell to buy
Katika miaka 10 iliyopita (kuanzia 2010 mpaka leo) Mancity inaongoza kwenye ligi kubwa za Ulaya kwa kutumia 1.4bn na Chelsea ni ya pili kwa kutumia 1.31bn

Summary
Mancity 1.4bn
Chelsea 1.31bn
Barcelona 1.26bn
PSG 1.24bn
Man U 1.1bn

Haya ebu tuambie huyo PSG yuko wapi hapo.
 
FORMER CHELSEA manager Antonio Conte is under police protection and fearing for the safety of his family after receiving a BULLET in the post.
 
VICTOR MOSES could return to Chelsea in the January transfer window with Fenerbahce keen to end his disappointing loan spell, according to reports.
 
CHELSEA will be able to sign Elseid Hysaj for FREE next summer after the player's agent revealed the Blues failed in £43million bid this year.
It’s believed that Chelsea were targeting 25-year-old Hysaj as a long-term replacement for club captain Cesar Azpilicueta.
But, after the emergence of youngster Reece James, Hysaj may have to settle for playing second-filled to the 19-year-old.
Elseid Hysaj ni RB wa Napoli na ana miaka 25. Huyu kiajan ameamua kuihama Napoli na agent wake ameipa nafasi Napoli kumuuza January au aondoke bure majira ya kiangazi
Huyo akija Reece James anaweza kufanywa winga. Tena mimi napenda zaidi Reece akicheza kama winga kuliko RB kwa sababu Reece ni mfungaji na yuko sharp na kwa hiyo Jadon Sancho akija hatuna haja tena ya mawingas
 
Katika miaka 10 iliyopita (kuanzia 2010 mpaka leo) Mancity inaongoza kwenye ligi kubwa za Ulaya kwa kutumia 1.4bn na Chelsea ni ya pili kwa kutumia 1.31bn

Summary
Mancity 1.4bn
Chelsea 1.31bn
Barcelona 1.26bn
PSG 1.24bn
Man U 1.1bn

Haya ebu tuambie huyo PSG yuko wapi hapo.
Mashawahi kununua mchezaji japo wa paun 100m,mijitu ya humu mibishi,

Jamaa kakwambia hizo timu ndio zina uwezo wa kununua mchezaji kuanzia 150m + halafu na wewe cheltako unajipenyeza uonekane umo
 
Umezungumzia collective na sio individually

Mfano Mancity kamnunua Mahrez kwa £60m + Rodri 65m + Walker £50m + Laporte £50m + Stones £50m ambapo total utapata £275m

Lakini PSG anamnunua neymar mmoja tu kwa £180m.

Point yangu ni kuwa Chelsea na Man City zinatumia pesa nyingi kwa Makundi ya Wachezaji.. Lakini PSG au Barcelona wanatumia pesa nyingi kwa Mchezaji mmoja.

Kwahiyo hoja ipo pale pale hamuna uwezo wa kushindana na PSG linapokuja suala la kuingia kwenye Market.
 
Mashawahi kununua mchezaji japo wa paun 100m,mijitu ya humu mibishi,

Jamaa kakwambia hizo timu ndio zina uwezo wa kununua mchezaji kuanzia 150m + halafu na wewe cheltako unajipenyeza uonekane umo

Wewe ungekuwa mwalimu ungelikwisha ishia Segerea kwa kuchapa wanafunzi Ngumi badala ya Viboko
Yani unajua kutumia kauli Ngumu kwa kumfahamisha Mtu
 
Dogo anautoto mwingi sana, anaweza kuwa na mpira akafanya usenge mpka ukatamani kumpiga mawe. Ni kama Abraham yule bishoo nae ni vile ana bahati ya kufunga tu lakini jamaa hamna kitu kabisa sijawahi kumuelewa kabisa huyo bishoo. Huwa anapoteza mpira kipuuzi kweli, subiri uone game ya man City kama atafunga.
Kuna uwezekano mkubwa Odoi akauzwa au Lampard amshauri kwa sababu lately Odoi hana clinical finishing kama akina Pulisic na Mount. Ban ikilegezwa au ikiisha Lampard ataingia sokoni kutafuta replacement yake kwa sababu Lampard ana mean business ila Odoi naona ana safari ndefu kuja kufit kwenye timu kama Chelsea. Hata kwenye dribbling ana a lot of silly mistakes kama vile hayuko serious. Nikimfananisha na Pulisic pamoja na kuwa Odoi ana stamina kuliko Pulisic lakini mwenzake yuko serious na ni very clinical kwenye umaliziaji. Yaani Odoi namfananisha na Zouma kwenye umaliziaji ila mwenzake afadhali yeye ni beki
 
Siri ya mafanikio ya wachezaji wengi wa Chelsea chini ya Lampard ni uhuru wa kucheza na kutumia ubunifu binafsi na hapa Kovacic anasema formation haijalishi sana wanapokuwa uwanjani!
"I can play as well in a midfield three, but in the two I feel maybe more comfortable with more freedom. But in the end the formation doesn’t matter too much."
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom