Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,457
- 27,104
Next 6 fixturesView attachment 1265275
City Away na Spurs Away kunaweza leta Vilio darajani
Next 6 fixturesView attachment 1265275
Dogo anautoto mwingi sana, anaweza kuwa na mpira akafanya usenge mpka ukatamani kumpiga mawe. Ni kama Abraham yule bishoo nae ni vile ana bahati ya kufunga tu lakini jamaa hamna kitu kabisa sijawahi kumuelewa kabisa huyo bishoo. Huwa anapoteza mpira kipuuzi kweli, subiri uone game ya man City kama atafunga.
Kante ameisha??? wewe haupo serious kabisa.
Wamununue tu tuwapige pesaINTER MILAN'S sporting director was in London this week working on a deal to sign Olivier Giroud, according to reports
Leo nimemfuatilia Odoi England ikicheza na Kosovo hadi HT, Yaani yale silly mistakes akiwa na mpira zimeonekana Dhahiri, Zaidi ya mara nne akipata mpira hata bila pressure anampasia aduiHuwaga analeta urembo sana hata akibaki yeye na kipa
Ila chelsea amekuwa na performance nzuri sana away msimu huu. Hili nalo hujaliona?City Away na Spurs Away kunaweza leta Vilio darajani
Hiv huyu zaha wanampendea Nini? Me nikisikiaga habari Kama hii ninanyon'gonyea sana.zaha sio clinical finisher Hana good performance msimu Huu pia ni rahisi kukabika.Replying to
@CarvalhoJTElite
@tammyabraham
and 2 others
Marina is incompetent. She will rather pay £70M for Zaha than pay £100M for Sancho
WHY CHELSEA FC WILL WIN THE MOST PREMIER LEAGUE TITLES IN THE NEXT 10 YEARS || Q&A
Ushasahau kichapo cha juzi tu kutoka kwa citizen ???Heheheh... tumecheza match mbili na ww... hiyo match ya pili unakumbuka second half mlivopaki basi? Halafu kwann city asifungike.