Hahahahahaha mwana kazingua sana

Anaanza kutubagua wakati sisi ni Chelsea damu
Nimekusoma sana we jamaa ni much know alafu ni empty set......

USIDHARAU USIYEMJUA KAMWE....

nimekupa elimu hiyo sasa ni hiyari yako kuitumia,
Humu wengi hatujuani unaweza kuta unamsemea mbovu baba yako mzazi au mumeo.....
 
Hahahhaaaaa


Huyo hajui hata tomori anacheza namba ngapi pale Chelsea alafu anasema ni mtalam wa mpira
Utakuta hata kutuliza sodo hujui alafu unajitia mtaalamu wa mpira dahhhh.....jitu likiwa nyuma ya kibao mbonyeo linakuwa jasiri linaweza hata kupambana na simba....
 
Sio vizuri kuitana majina ya ajabu ajabu mara tatu mzuka mara manini sijui ...sio vema kabisa kudharau wengine kwasababu ya vitu vidogovidogo....wapo wanaojua sana soka na wanapita tu humu kimyakimya wanasoma comment wanatembea na wanaosababisha hayo ni hawa wanaojifanya wajuaji kuliko wengine....Hawana cha kupoteza maana kuna watu wanakula na kufanya maisha yao kupitia haya mambo...kama yeye mjuaji si aende akafanye uchambuzi huko ktk magazeti,tvs na radio akalipwa sio kutupigia kelele na dharau hapa na vihabari vyake vya kuungaunga...
Kwanza yeye alijuaje kama kuna watu hawana furaha ni kaka zake au ni watoto wa mjomba wake

Aache ujuaji wake
 
Hauhitaji kujua kama wana furaha au hawana.... hebu tuambie mikataba ya hao wachezaji inaisha lini na nini kimetokea kuhusu kusaini mikataba mipya? Kuna match nyingi tu msimu huu Poch alikuwa akimpiga bench Eriksen, Unaijua sababu?
Ndio umeandika nini sasa ????
Hawana furaha uliingia katika mioyo yao???au munashare bedsheet????
Fuatilia yako haya ya Spurs huyawezi
 
Kama ulikuwa hujui Sancho idol wake ni Lampard
Katika FIFA 20 team, Jadon Sancho amemchagua Lampard awe manager wake, je hii ina maana anakuaj darajani au?
db3v368cjdt31.jpg

 
Hahahhaaaaa


Huyo hajui hata tomori anacheza namba ngapi pale Chelsea alafu anasema ni mtalam wa mpira
Kijana wacha kuropoka, kama ni Chelsea uwe na kituo wakati unaongea sio kuja kuungana na waadhirika na sisi hatutaweza kukutofautisha
 
Itapendeza kama james atapangwa badala ya Azipuleta ili akimbizane na kile kiberenge Stelling.

Azipuleta ameshachoka Stelling atamsumbua sana.
Ni kweli Reece ana advantage zaidi ya Azpi kukabiliana na Sterling
Advantage ya ujumla wa Reece dhidi ya Azpi ni nne
  1. Reece ana uwezo wa kutoa krosi nzuri zaidi ya Azpi
  2. Reece ana speed kwenye kushambulia na kukaba kuliko Azpi
  3. Reece ni mfungaji zaidi ya Azpi
  4. Reece anaweza kuswitch au kucheza position nyingi zaidi ya Azpi. mfano RB, Right wing, MF zote yaani kukaba na kushambuilia
Advantage pekee aliyonayo Azpi dhidi ya Reece ni uzoefu na kucheza na timu kama Man city saa nyingine uzoefu unaweza saidia
 
Kuna tetesi kwamba Pulisic ni mzima
Sasa Pulisic akiwa mzima ni nani sasa Lampard atawapanga Katika wide area
  1. Pulisic?
  2. Kovacic?
  3. Mount?
Pulisic au Mount - Tammy Abraham - Willian
Mount au Kovacic - Jorginho - Kante
Emerson - Tomori - Zouma - Azpilicueta
Kepa
 
Kijana wacha kuropoka, kama ni Chelsea uwe na kituo wakati unaongea sio kuja kuungana na waadhirika na sisi hatutaweza kukutofautisha
Wewe akili zako ni fupi sana, @lembuMBUMBU yaani ni mbumbumbu na jina lako linaakisi ulivyo.....

Kaa tafakari jitathmini kama utakuwa ni fungu la kupata utajua unapojikwaa kila mara rudi jirekebishe uendelee positively ila kama fungu la kukosa endeleza huu upumbavu wako wa kudharau wengine ,kuwaita majina ya hovyo na kujiona wewe ni muchknow sana....ili uendelee negatively,

Ujanja mwingi mbele kiza.......

Big up kwa Chelsea fan wenye kujielewa vema,
 
Back
Top Bottom