Hawa wachezaji hawako na furaha kuichezea tena Spurs
  1. Eriksen
  2. Vertonghen
  3. Alderweirld,
  4. Danny Rose
Hao ndio injini ya timu na hawako na furaha wengine walitaka kuhama tangu msimu uliopita, wote tunajua jinsi Ericksen alivyotaka kutoka na inawezekana kawekewa kizingiti na sasa hana furaha
Fuatilia jambo kwa makini kwanza ndio uje kuandika mkuu
 
The pride of London
73414170_343738653152531_8227190225376659051_n.jpeg
 
Vijana wa tatu-mzuka ni ngumu sana kuelewa mambo, ukandika kitu kabla ya kuprocess kwenye ubongo wanafyatua kama hazimo. Niliongelea hapa wachezaji wasio na furaha ndani ya Tot wao wakakimbilia kwa Kane mara Son mara Dele Alli kana kwamba hao wachezaji mimi siwajui.

Ngoja niweke kwa maneno marahisi ukishindwa kuelewa hapa basi sina msaada mwingine

Hawa wachezaji ni muhimu kwenye timu ya Tot ya wakati wa Pochettino na hawana furaha ya kuichezea Tot
  1. Eriksen
  2. Vertonghen
  3. Alderweirld,
  4. Danny Rose
Hawa wachezaji ni muhimu kwenye timu ya Tot ya wakati wa Pochettino na wana furaha ya kuichezea Tot
  1. Harry Kane
  2. Dele Alli
  3. Son Heung-min
 
Na hao wachezaji wasio na furaha mikataba yao inaishia 30 June 2020, Danny na Eriksen wamekataa kusaini mikataba mipya
 
Tujikumbushie 2014 wakati Lampard anaichezea Man City na tulipoenda pale Etihad, Lampard aliifungia Man city goli la kusawazisha hadi baadhi ya mashabiki wakaishiwa na uzalendo na aliporudi darajani January 2015 akakutana na ujumbe pichani hapo chini. Hata baada ya Lampard kutoshangilia hilo goli lakini bado walimwita msaliti. Je Lampard atatuhakikishia kwamba wakati ule hakukusudia kutuumiza?

0_Frank-Lampard-Chelsea-fan-City.jpg

Shabiki moja wa Chelsea akimsema Lampard msaliti kupitia bango baada ya Lampard kuwafungia City goli la kusawasisha walipocheza Etihad 2014 kwenye mechi mojawapo ya EPL
 
Kazi kwanza

Man City Vs Chelsea
Predicted Lineup for Chelsea
Formation 4-3-3
Mount - Tammy Abraham - Willian
Kovacic - Jorginho - Kante
Emerson - Tomori - Zouma - Azpilicueta
Kepa
 
Itapendeza kama james atapangwa badala ya Azipuleta ili akimbizane na kile kiberenge Stelling.

Azipuleta ameshachoka Stelling atamsumbua sana.
Huenda Sterling hatocheza sababu ya ile ban ya match moja aliyopigwa... ila hata mimi binafsi nilipenda apangwe Reece James badala ya Azplicueta.
 
Na ni wageni humu au wavamizi. Hatujui hata wanashabikia timu gani hizi forums zingekuwa kama za WhatsApp au group za facebook, mgeni akija lazima kwanza afanyiwe interview ili kujua yeye ni wa upande gani na kama ana akili timamu
Nimekusoma sana we jamaa ni much know alafu ni empty set......

USIDHARAU USIYEMJUA KAMWE....

nimekupa elimu hiyo sasa ni hiyari yako kuitumia,
Humu wengi hatujuani unaweza kuta unamsemea mbovu baba yako mzazi au mumeo.....
 
Huenda Sterling hatocheza sababu ya ile ban ya match moja aliyopigwa... ila hata mimi binafsi nilipenda apangwe Reece James badala ya Azplicueta.
Acheni kumshushia heshima alzipicueta Kuna jembe linalokaba zaidi ya hili huyo mtu wenu mnamjaza upepo bure game Kama hizi nikwaajili ya experience player.
 
Vijana wa tatu-mzuka ni ngumu sana kuelewa mambo, ukandika kitu kabla ya kuprocess kwenye ubongo wanafyatua kama hazimo. Niliongelea hapa wachezaji wasio na furaha ndani ya Tot wao wakakimbilia kwa Kane mara Son mara Dele Alli kana kwamba hao wachezaji mimi siwajui.

Ngoja niweke kwa maneno marahisi ukishindwa kuelewa hapa basi sina msaada mwingine

Hawa wachezaji ni muhimu kwenye timu ya Tot ya wakati wa Pochettino na hawana furaha ya kuichezea Tot
  1. Eriksen
  2. Vertonghen
  3. Alderweirld,
  4. Danny Rose
Hawa wachezaji ni muhimu kwenye timu ya Tot ya wakati wa Pochettino na wana furaha ya kuichezea Tot
  1. Harry Kane
  2. Dele Alli
  3. Son Heung-min
Ndio umeandika nini sasa ????
Hawana furaha uliingia katika mioyo yao???au munashare bedsheet????
Fuatilia yako haya ya Spurs huyawezi
 
Aisee tunajenga nyumba moja, tusinyang'anyane fito wazee.
Sio vizuri kuitana majina ya ajabu ajabu mara tatu mzuka mara manini sijui ...sio vema kabisa kudharau wengine kwasababu ya vitu vidogovidogo....wapo wanaojua sana soka na wanapita tu humu kimyakimya wanasoma comment wanatembea na wanaosababisha hayo ni hawa wanaojifanya wajuaji kuliko wengine....Hawana cha kupoteza maana kuna watu wanakula na kufanya maisha yao kupitia haya mambo...kama yeye mjuaji si aende akafanye uchambuzi huko ktk magazeti,tvs na radio akalipwa sio kutupigia kelele na dharau hapa na vihabari vyake vya kuungaunga...
 
Back
Top Bottom