lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,468
- 21,904
Lampard atasiwtch, uanweza ukashangaa Kovacic akicheza winga na Kante striker na bado wakapata matokeoSavic akitua nani anaanzia bechi Joginho au kovacic?
Lampard atasiwtch, uanweza ukashangaa Kovacic akicheza winga na Kante striker na bado wakapata matokeoSavic akitua nani anaanzia bechi Joginho au kovacic?
PSG sio class, hawajui business na ndio maana ukija kwenye timu Tajiri hawapoReal Madrid
PSG
Barcelona
Hizo ndiyo Timu Pekee zenye uwezo wa kununua wachezaji zaidi ya £150m
Vigezo ni kuwa Bajeti zao za Manunuzi ni kubwa na hawategemei Sell to buy
Katika miaka 10 iliyopita (kuanzia 2010 mpaka leo) Mancity inaongoza kwenye ligi kubwa za Ulaya kwa kutumia 1.4bn na Chelsea ni ya pili kwa kutumia 1.31bnReal Madrid
PSG
Barcelona
Hizo ndiyo Timu Pekee zenye uwezo wa kununua wachezaji zaidi ya £150m
Vigezo ni kuwa Bajeti zao za Manunuzi ni kubwa na hawategemei Sell to buy
Mashawahi kununua mchezaji japo wa paun 100m,mijitu ya humu mibishi,Katika miaka 10 iliyopita (kuanzia 2010 mpaka leo) Mancity inaongoza kwenye ligi kubwa za Ulaya kwa kutumia 1.4bn na Chelsea ni ya pili kwa kutumia 1.31bn
Summary
Mancity 1.4bn
Chelsea 1.31bn
Barcelona 1.26bn
PSG 1.24bn
Man U 1.1bn
Haya ebu tuambie huyo PSG yuko wapi hapo.
Katika miaka 10 iliyopita (kuanzia 2010 mpaka leo) Mancity inaongoza kwenye ligi kubwa za Ulaya kwa kutumia 1.4bn na Chelsea ni ya pili kwa kutumia 1.31bn
Summary
Mancity 1.4bn
Chelsea 1.31bn
Barcelona 1.26bn
PSG 1.24bn
Man U 1.1bn
Haya ebu tuambie huyo PSG yuko wapi hapo.
Mashawahi kununua mchezaji japo wa paun 100m,mijitu ya humu mibishi,
Jamaa kakwambia hizo timu ndio zina uwezo wa kununua mchezaji kuanzia 150m + halafu na wewe cheltako unajipenyeza uonekane umo
Kuna uwezekano mkubwa Odoi akauzwa au Lampard amshauri kwa sababu lately Odoi hana clinical finishing kama akina Pulisic na Mount. Ban ikilegezwa au ikiisha Lampard ataingia sokoni kutafuta replacement yake kwa sababu Lampard ana mean business ila Odoi naona ana safari ndefu kuja kufit kwenye timu kama Chelsea. Hata kwenye dribbling ana a lot of silly mistakes kama vile hayuko serious. Nikimfananisha na Pulisic pamoja na kuwa Odoi ana stamina kuliko Pulisic lakini mwenzake yuko serious na ni very clinical kwenye umaliziaji. Yaani Odoi namfananisha na Zouma kwenye umaliziaji ila mwenzake afadhali yeye ni beki
Madrid wamenogewa na biashara tulizofanya nao (Morata, Hazard, Kovacic, kipa cortous).
Kwa Kante, Pulisic, Abraham biashara itakata upande wetu.
Ni yule aliyepigwa Ban ya kutokanyaga London
Kante ameisha??? wewe haupo serious kabisa.Kante kaisha sema soka lake anamalizia pale Chelsea. Muwe mnafatilia na habari za wachezaji wenu
Kante ameisha??? wewe haupo serious kabisa.
Wamsaini tu aiseee.... .ila ataweza kumuweka lukaku nje?INTER MILAN'S sporting director was in London this week working on a deal to sign Olivier Giroud, according to reports
Hata wewe unapaswa kuandika vizuriSoma vizuri acha kukurupuka
Hizi stats nyengine sura zinazokujanazo unaweza ukashtuka!CAPTAIN OF AMERICA View attachment 1265276