lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,213
- 21,694
Baada ya miaka miwili itakuwa ni 2022 na nadhani wakati huo hatutakuwa kwenye ban mkuuUnadhani baada ya hiyo miaka miwili kuisha nani atakua successor wa Willian
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya miaka miwili itakuwa ni 2022 na nadhani wakati huo hatutakuwa kwenye ban mkuuUnadhani baada ya hiyo miaka miwili kuisha nani atakua successor wa Willian
Ndio maana nikasema ni kheri tumlete Sancho sa ivi.Baada ya miaka miwili itakuwa ni 2022 na nadhani wakati huo hatutakuwa kwenye ban mkuu
Haaa... unasema Sancho ana utofauti gani na Odoi?Nimemuangalia huyu dogo sancho youtube naona ana skills za kuchezea mpira. Tofauti yake na odoi ni ipi?
Nimemuangalia huyu dogo sancho youtube naona ana skills za kuchezea mpira. Tofauti yake na odoi ni ipi?
Sancho yuko Sharp zaidi ya Odoi. Sancho anajiamini zaidi ya Odoi. Sancho ni RW wakati Odoi ni LW. Sancho haitaji muda zaidi wa kujifunza yule tayari anaweza kubeba majukumu makubwaNimemuangalia huyu dogo sancho youtube naona ana skills za kuchezea mpira. Tofauti yake na odoi ni ipi?
Hivi unaijua bei ya Sancho lakini? Kawaulize Manure.
Najua Timu yenu inahela lakini sidhani kama imeshafikia class ya kununua wachezaji wa £130m
Hawa Madrid hata kama ni kujenga timu hii sasa inakua ni tamaa. Wana Vinicius Jr, Rodrigo, Hazard, Vazquez, Bale sasa wanamtaka na Odoi. Hii habari niliiona jana ila nikaamua kuipuuzia
Kwa data hizo ulizotoa sancho mkali. Ishu ni LAMPARD anamuhitaji?
Timu gani zenye class ya kununua wachezaji kama hao na kama utaweza tutajie vigezo vya kuingia class hizo.
Ahsante
Whats 130 kwa Abromovich? Bado Tuna 100 ya hazard, 42 Ake, 8 luiz, 35 cotous, 50 Morata
Unamjua Roman kweli wewe
Kuna kipindi chelsea ilimtaka neymar na boss alishaweka mezani 220. Conte hakumtaka neymar.
Savic akitua nani anaanzia bechi Joginho au kovacic?
Unasema timu pekee yaan kama vile hiyo ni sheria ilishaandikwa. Subiri tuone itakuwaje hapoReal Madrid
PSG
Barcelona
Hizo ndiyo Timu Pekee zenye uwezo wa kununua wachezaji zaidi ya £150m
Vigezo ni kuwa Bajeti zao za Manunuzi ni kubwa na hawategemei Sell to buy
Ukifanya usajili haina maana aliyesajiliwa ataanza moja kwa moja kikosi cha kwanza.Savic akitua nani anaanzia bechi Joginho au kovacic?
Mwaka huu kazima, anaweza kuja huku akawa kama PepeHaaa... unasema Sancho ana utofauti gani na Odoi?
Msimu huu match 9 ana goal 3 na assist 5
Msimu uliopita match 34 alikuwa na goal 12 na assist 14
Hizo ni match za bundesliga tu.
Sasa hebu fikiria Mbele kuna kuwe striker ya kueleweka halafu una wings pulisic na sancho kati una Kante/Savic, Kovacic na Joginho nyumba una Recce James, Tomori, Zouma/Rudiger Chiwell halafu golini una Kepa.
Hicho kikosi lazima timu zilale na viatu kila siku.
Usajili wa Jadon ni kwa ajili ya Pedro. Winga wanatakiwa wawe wawiliwawili, Sancho akija atasaidiana na Willian huku Odoi na PulisicNdio maana nikasema ni kheri tumlete Sancho sa ivi.
Ndio maana nikasema anahitaji councelling ili makosa yapungue. Akipunguza makossa hayo ya dribbling na umaliziaji wa kufunga Odoi ana stamina na kasi na atafanya kuwa winga hatariKitu pekee ambacho Odoi kamzidi Sancho labda ni ile kasi yake. Odoi anatembea sana...
Wachukue timu nzima sisi tupige beiWanamtaka na pulisic hata Abraham