Pep Guardiola was furious to be denied two penalties after two handballs from Trent Alexander-Arnold and City’s complaint stated they were unhappy with how referee Michael Oliver oversaw proceedings.
Chelsea paid £71.6million for Kepa last year, a record fee for a goalkeeper, and Lampard is concerned about his stopper’s form. Kepa’s frailties at set-pieces is a particular concern for Lampard and he feels he is now in a position to go after Given following an excellent start to the season. The Chelsea boss is convinced Given can help Kepa address his weaknesses.
Man city wapeleka malalamiko yao rasmi juu ya VAR wakati wa mtanange wao na Liverpool
Walinyimwa penalty 2 baada ya TAA kunawa mpira mara mbili kwenye eneo la penalti na pia Sadio Mane kumsukuma Sterling kwenye eneo la penalty na VAR haikusema lolote.
Bila kuweka uchawi ktk kila jambo hainogi hapa AfrikaHuyu Giroud ana Vizizi si bure!
Yani Chelsea hapati namba lakini France hakosi namba
Huu ni uchawi wa wazi kabisa
Then kama bernado silva alinawa... then it was supposed a foul... lakini mpira ukaendelea... na kupelekea man city kufungwa lile goal lq kwanza...Man City bhana! Kwani nani aliyekuwa hajawahi kudhulumiwa uwanjani?? Kwasababu sisi tunashinda huwa hatulalamikii VAR lakini tumeshafanyiwa Matukio mengi tu ya kutunyima Magoli au kufungishwa Magoli.
Firmibo alishakataliwa goli na VAR bila ya sababu yeyote na FA kwenye statement yao wakashindwa kujitetea.
Kwahiyo na wao wakubali tu kuwa VAR wakati mwengine inakunufaisha, Wakati mwengine inakutia hasara.
Hizo Penalty 2 anazozilalamikia kwanza ajue halali ni 1 tu ile ya dakika za mwisho, ile ya mwanzo Bernado Silva alinawa first kabla ya TAA kunawa.
mapenzi ya kocha hayoHuyu Giroud ana Vizizi si bure!
Yani Chelsea hapati namba lakini France hakosi namba
Huu ni uchawi wa wazi kabisa
Barcelona watapiga hodii January. View attachment 1263513
Cheki VAR ilivyoadhiri na kuzinufaisha timu za EPL
Kwa maneno mengi VAR isingekuwepo timu zingepata point upande wa kulia yaani New points badala ya Old points
Kwa maneno mengine pia timu zenye alama nyekundu kwenye position change zimenufaika na VAR
Wanufaika wakubwa ni Craystal Palace kwa nafasi 5 zaidi na Brighton kwa nafasi 3 zaidi
Walioadhiriwa na VAR wakubwa ni Everton nafasi 6 nyuma na Westham nafasi 3, Man city nafasi 2 na Wolves nafasi 2
Nadhani Willian tumuache aende tu. Nafasi yake ije ichukuliwe na SanchoBarcelona watapiga hodii January. View attachment 1263513
Then kama bernado silva alinawa... then it was supposed a foul... lakini mpira ukaendelea... na kupelekea man city kufungwa lile goal lq kwanza...
Japo Lampard anataka aongezewe mkataba...Nadhani Willian tumuache aende tu. Nafasi yake ije ichukuliwe na Sancho
Sasa hapo tunasema makosa yalitokea kwenye build up ya hilo goli.
Silver alinawa lakini Refa hakuona, Liverpool tukaona Faulo lakini haikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Man City, Lakini wakashindwa kuitumia nafasi.
Then kwenye hiyo Move TAA akanawa pia Refa hakuona, Man City wakaomba Faulo lakini hsikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Liverpool na Wakaitumia.
Sasa hapo ilikuwa ni Win Win situation Mkuu but uzembe wa Man City kutokutumia nafasi wanazozipata ndiyo ulioleta Shida.
Mkuu Willian akiongeza mkataba tu jua na shughuli imeisha huwa analegea sana. Yaan utafikiri siyo huyu wa sasaJapo Lampard anataka aongezewe mkataba...
Willian hatakosa namba Barcelona. Kwa style ya uchezaji wa Willlian hata Griezmann hamfikii. Tofauti yao tu ni Griez anafunga magoli zaidi ya Willian, ila Willian akiwa winga au attacking MF atawasababisha akina Messi, na Suarez wafunge magoli mengi zaidi ya yale ya Griez. Huo ndio ukweli na ndio maana Barcelona wanamfukuzia kwa muda mrefu. Labda Willian mpira umkatae huko Laliga kama Coutinho ulivyomkataaKwa Barcelona siwashangai!
Manake walimsajili mpaka Prince Boateng wakati wakiwa na uhakika hawana pakumtumia.
Kwahiyo wanaweza kumsajili na Willian ingawa hawana pa kumtumia.
Front 3
Grize - Suarez - Messi
Na wengine ni Dembele na Coutinho
Mido hata sina cha kujadili
Sasa hapo sijui Willian atatoboaje
Bado willian ni muhimu kwa Chelsea ana offer vitu vingi kwenye uchezaji wake labda chelsea wamuuze Kama watapata replacement yake tofauti na hapo Chelsea itastruggle sana.Pedro ndo mchezaji wa kumuuza pale Chelsea.huwezi ukatabiri eti fulani akiongezewa mkataba ataflop kwani wewe ni mungu.Mkuu Willian akiongeza mkataba tu jua na shughuli imeisha huwa analegea sana. Yaan utafikiri siyo huyu wa sasa
Kwa mfumo wa Sarri sio huu wa Lampard. Makocha waliopita walikuwa hawaweki nindhamu kwenye kambi mpaka wachezaji wanalalama ovyo wakati wa Sarri. Kwa Lampard mchezaji akicheza ovyo mchezo mmoja tu, next game hana namba na Willian analijua hiloMkuu Willian akiongeza mkataba tu jua na shughuli imeisha huwa analegea sana. Yaan utafikiri siyo huyu wa sasa
Mimi ni fan mkubwa wa Willian na sasa yuko kwenye form. Napenda style ya uchezaji wakeBarcelona watapiga hodii January. View attachment 1263513
Ndiyomaana David Luis aliamua kulalambele mapema kukwepa hayo.Kwa mfumo wa Sarri sio huu wa Lampard. Makocha waliopita walikuwa hawaweki nindhamu kwenye kambi mpaka wachezaji wanalalama ovyo wakati wa Sarri. Kwa Lampard mchezaji akicheza ovyo mchezo mmoja tu, next game hana namba na Willian analijua hilo