Mkuu hii list yako haiendani na tunachokijadili!

Tunachokijadili ni Wafumania Nyavu hatari wa Ligi za Mchangani waliofeli EPL

Sasa hawa Kina Benteke, Aspas, Markovic, Luis Alberto labda iwe ni wafumaniaji wa Nyavu za Uvuvi lakini si za golini.

Nadhani umehusisha hiyo post yako na kumpiga Madongo Liverpool lakini usisahau Kuwa Benteke alitoka EPL akahamia Liverpool ikiwa EPL hakutokea mchangani na wala hakuwa Mfungaji bora bali alikuwa average tu wa kawaida.
Hao kina Aspas na Markovic wala hakuna aliyekuwa akiwajua.
Fikra zako tu bro,nadhani hapo nimemjumuisha Jovetic, Higuain au nao walipita liverpool?????
 
Hizi adhabu zimetulia. Hakuna longolongo ni kulipa pesa.

Kibongobongo mchezaji anapewa onyo kwa mara ya kwanza, onyo kwa mara ya pili, mara ya 3 anapewa barua ya kuitwa kamati ya maadili/nidhamu ajieleze kwanini asichukuliwe hatua za kinadhamu

Mchezaji anaomba msamaha anasamehewa wiki inayofuata anarudia kosa lile lile.
Mkuu unamsema Niyonzima, Okwi na Ajib
 
Hizi adhabu zimetulia. Hakuna longolongo ni kulipa pesa.

Kibongobongo mchezaji anapewa onyo kwa mara ya kwanza, onyo kwa mara ya pili, mara ya 3 anapewa barua ya kuitwa kamati ya maadili/nidhamu ajieleze kwanini asichukuliwe hatua za kinadhamu

Mchezaji anaomba msamaha anasamehewa wiki inayofuata anarudia kosa lile lile.
Ni adhabu ndogo sana ukilinganisha na mishahara yao. Sasa mtu unalipwa £100k kwa week unashindwaje kutoa faini ya £1000
 
Tarehe 20 Novemba 2019 ndio tarehe ya kusikilizwa kwa Rufaa ya Chelsea
Je tuombe tupunguziwe hiyo ban au ban iendelee kuwepo mpaka mwisho wa msimu?
 
Kama nilivyowahi kusema katika post yangu jana. Hawa wachezaji tunaowatoa kwa mkopo na wao wanakua wana feel less effective kwa timu yake kwa sababu kama mchezaji anafikia umri wa miaka 24 bado tu hajapata permanent team ya kucheza hata kama ana mapenzi ya klabu anaona bora abaki sehemu anayoona itampa nafasi zaidi ya kycheza.

Sasa mfano huyu Pasalic huu ni msimu wake wa pili anacheza Atalanta na kwa hakika keshatengeneza bond na wachezaji wenzake kwa vyovyote atatamani abaki hapo kuliko kurudi na kuja kuanza kucheza dakika 15-20 na wakati Atalanta ana namba ya kudumu.

Mimi niachoona kama mchezaji keshaemda zaidi ya misimu mitatu kwa mkopo na timu haioni potential yoyote kwake ni bora auzwe tu kuliko kumpotezea deals za maana. Hebu assume Salah tungemtoa kwa mkopo huwezi jua pengine asingekua hapo alipo sasa.
IMG_20191113_092921_059.jpeg
 
Kuna watu walimkejeli Lampard, mgeni kwenye EPL, mgeni kwenye ukocha, hataweza mikiki mikiki ya EPL NK
Sasa wamenyamaza kimya. Tutaelewana tu kule mbele ya safari
Naona anachojaribu kukifanya Lampard ni kutengeneza timu inayoelewana na yenye nidhamu. Hataki mchezaji mmoja aanze kuwa juu ya wengine na kuanza kuspoil wachezaji wadogo. Mfano Man Utd inavyohatibiwa na Pogba.
 
Kama nilivyowahi kusema katika post yangu jana. Hawa wachezaji tunaowatoa kwa mkopo na wao wanakua wana feel less effective kwa timu yake kwa sababu kama mchezaji anafikia umri wa miaka 24 bado tu hajapata permanent team ya kucheza hata kama ana mapenzi ya klabu anaona bora abaki sehemu anayoona itampa nafasi zaidi ya kycheza.

Sasa mfano huyu Pasalic huu ni msimu wake wa pili anacheza Atalanta na kwa hakika keshatengeneza bond na wachezaji wenzake kwa vyovyote atatamani abaki hapo kuliko kurudi na kuja kuanza kucheza dakika 15-20 na wakati Atalanta ana namba ya kudumu.

Mimi niachoona kama mchezaji keshaemda zaidi ya misimu mitatu kwa mkopo na timu haioni potential yoyote kwake ni bora auzwe tu kuliko kumpotezea deals za maana. Hebu assume Salah tungemtoa kwa mkopo huwezi jua pengine asingekua hapo alipo sasa.View attachment 1261965
Unajua biashara ya wachezaji ni kama ya real estate
Mchezaji anuzwa kama dau lina lipa, kama hailipi atatolewa mkopo hadi dau lilete faida. Hiyo ndio business ya wachezaji na Chelsea wanapata faida kwenye hii business na ndio maana inaongoza kwa wachezaji wa mkopo. Ukifuatilia huyo Pasalic hakuna timu iliyowahi kutoa dau la maana
 
Naona anachojaribu kukifanya Lampard ni kutengeneza timu inayoelewana na yenye nidhamu. Hataki mchezaji mmoja aanze kuwa juu ya wengine na kuanza kuspoil wachezaji wadogo. Mfano Man Utd inavyohatibiwa na Pogba.

Ongeeni yote ila naomba mjitahidi walau droo kwa Man City game ijayo.

Kama Wolves alishinda Etihad ninyi mnshindwa vipi?
 
Tombe majeruhi yasiwepo kwenye hii international break

Belgium:
Michy Batshuayi
Croatia: Mateo Kovacic and Mario Pasalic
Denmark: Andreas Christensen
England: Mason Mount, Fikayo Tomori, Tammy Abraham and Callum Hudson-Odoi:
France: N’Golo Kante, Olivier Giroud and Kurt Zouma
Italy: Jorginho and Emerson Palmieri
Spain: Kepa Arrizabalaga
Brazil: Willian
 
Ongeeni yote ila naomba mjitahidi walau droo kwa Man City game ijayo.

Kama Wolves alishinda Etihad ninyi mnshindwa vipi?
Kwa nini unaomba draw na sio kushinda, ili tusiwakaribie?
Kama nyie mliwafunga kirahisi hata sisi tunaweza kuwafunga. Tuombe Mungu tu majeruhi yasitokee kwenye International break
 
Kwa nini unaomba draw na sio kushinda, ili tusiwakaribie?
Kama nyie mliwafunga kirahisi hata sisi tunaweza kuwafunga. Tuombe Munmgu tu majeruhi yasitokee kwenye International break

Mkiwafunga ni kheri kwetu, maana najua nyie mtanikaribia tu ila kunipita hamwezi.
 
Back
Top Bottom