Man city wapeleka malalamiko yao rasmi juu ya VAR wakati wa mtanange wao na Liverpool
Walinyimwa penalty 2 baada ya TAA kunawa mpira mara mbili kwenye eneo la penalti na pia Sadio Mane kumsukuma Sterling kwenye eneo la penalty na VAR haikusema lolote.

Pep Guardiola was furious to be denied two penalties after two handballs from Trent Alexander-Arnold and City’s complaint stated they were unhappy with how referee Michael Oliver oversaw proceedings.
 
Lampard anamtaka Shay Given kwa ajili ya Kepa
Huyu ni kocha wa makipa kule Derby County
Chelsea paid £71.6million for Kepa last year, a record fee for a goalkeeper, and Lampard is concerned about his stopper’s form. Kepa’s frailties at set-pieces is a particular concern for Lampard and he feels he is now in a position to go after Given following an excellent start to the season. The Chelsea boss is convinced Given can help Kepa address his weaknesses.

GettyImages-1180678640.jpg
 
Man city wapeleka malalamiko yao rasmi juu ya VAR wakati wa mtanange wao na Liverpool
Walinyimwa penalty 2 baada ya TAA kunawa mpira mara mbili kwenye eneo la penalti na pia Sadio Mane kumsukuma Sterling kwenye eneo la penalty na VAR haikusema lolote.

Man City bhana! Kwani nani aliyekuwa hajawahi kudhulumiwa uwanjani?? Kwasababu sisi tunashinda huwa hatulalamikii VAR lakini tumeshafanyiwa Matukio mengi tu ya kutunyima Magoli au kufungishwa Magoli.
Firmibo alishakataliwa goli na VAR bila ya sababu yeyote na FA kwenye statement yao wakashindwa kujitetea.

Kwahiyo na wao wakubali tu kuwa VAR wakati mwengine inakunufaisha, Wakati mwengine inakutia hasara.

Hizo Penalty 2 anazozilalamikia kwanza ajue halali ni 1 tu ile ya dakika za mwisho, ile ya mwanzo Bernado Silva alinawa first kabla ya TAA kunawa.
 
Huyu Giroud ana Vizizi si bure!

Yani Chelsea hapati namba lakini France hakosi namba

Huu ni uchawi wa wazi kabisa
 
Man City bhana! Kwani nani aliyekuwa hajawahi kudhulumiwa uwanjani?? Kwasababu sisi tunashinda huwa hatulalamikii VAR lakini tumeshafanyiwa Matukio mengi tu ya kutunyima Magoli au kufungishwa Magoli.
Firmibo alishakataliwa goli na VAR bila ya sababu yeyote na FA kwenye statement yao wakashindwa kujitetea.

Kwahiyo na wao wakubali tu kuwa VAR wakati mwengine inakunufaisha, Wakati mwengine inakutia hasara.

Hizo Penalty 2 anazozilalamikia kwanza ajue halali ni 1 tu ile ya dakika za mwisho, ile ya mwanzo Bernado Silva alinawa first kabla ya TAA kunawa.
Then kama bernado silva alinawa... then it was supposed a foul... lakini mpira ukaendelea... na kupelekea man city kufungwa lile goal lq kwanza...
 
Cheki VAR ilivyoadhiri na kuzinufaisha timu za EPL
Kwa maneno mengi VAR isingekuwepo timu zingepata point upande wa kulia yaani New points badala ya Old points
Kwa maneno mengine pia timu zenye alama nyekundu kwenye position change zimenufaika na VAR
Wanufaika wakubwa ni Craystal Palace kwa nafasi 5 zaidi na Brighton kwa nafasi 3 zaidi
Walioadhiriwa na VAR wakubwa ni Everton nafasi 6 nyuma na Westham nafasi 3, Man city nafasi 2 na Wolves nafasi 2

premm.png

Kumbe Leicester anapiga Kitonga kimyakimya! Then zogo lote lipo kwa Liverpool
 
Then kama bernado silva alinawa... then it was supposed a foul... lakini mpira ukaendelea... na kupelekea man city kufungwa lile goal lq kwanza...

Sasa hapo tunasema makosa yalitokea kwenye build up ya hilo goli.
Silver alinawa lakini Refa hakuona, Liverpool tukaona Faulo lakini haikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Man City, Lakini wakashindwa kuitumia nafasi.

Then kwenye hiyo Move TAA akanawa pia Refa hakuona, Man City wakaomba Faulo lakini hsikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Liverpool na Wakaitumia.

Sasa hapo ilikuwa ni Win Win situation Mkuu but uzembe wa Man City kutokutumia nafasi wanazozipata ndiyo ulioleta Shida.
 
And am sure kama city angetumia hiyo chance akascore basi goal lingekataliwa...
Sasa hapo tunasema makosa yalitokea kwenye build up ya hilo goli.
Silver alinawa lakini Refa hakuona, Liverpool tukaona Faulo lakini haikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Man City, Lakini wakashindwa kuitumia nafasi.

Then kwenye hiyo Move TAA akanawa pia Refa hakuona, Man City wakaomba Faulo lakini hsikutolewa. Hapo ikawa ni Advantage kwa Liverpool na Wakaitumia.

Sasa hapo ilikuwa ni Win Win situation Mkuu but uzembe wa Man City kutokutumia nafasi wanazozipata ndiyo ulioleta Shida.
 
Kwa Barcelona siwashangai!
Manake walimsajili mpaka Prince Boateng wakati wakiwa na uhakika hawana pakumtumia.
Kwahiyo wanaweza kumsajili na Willian ingawa hawana pa kumtumia.

Front 3

Grize - Suarez - Messi
Na wengine ni Dembele na Coutinho

Mido hata sina cha kujadili

Sasa hapo sijui Willian atatoboaje
Willian hatakosa namba Barcelona. Kwa style ya uchezaji wa Willlian hata Griezmann hamfikii. Tofauti yao tu ni Griez anafunga magoli zaidi ya Willian, ila Willian akiwa winga au attacking MF atawasababisha akina Messi, na Suarez wafunge magoli mengi zaidi ya yale ya Griez. Huo ndio ukweli na ndio maana Barcelona wanamfukuzia kwa muda mrefu. Labda Willian mpira umkatae huko Laliga kama Coutinho ulivyomkataa
 
Mkuu Willian akiongeza mkataba tu jua na shughuli imeisha huwa analegea sana. Yaan utafikiri siyo huyu wa sasa
Bado willian ni muhimu kwa Chelsea ana offer vitu vingi kwenye uchezaji wake labda chelsea wamuuze Kama watapata replacement yake tofauti na hapo Chelsea itastruggle sana.Pedro ndo mchezaji wa kumuuza pale Chelsea.huwezi ukatabiri eti fulani akiongezewa mkataba ataflop kwani wewe ni mungu.
 
Mkuu Willian akiongeza mkataba tu jua na shughuli imeisha huwa analegea sana. Yaan utafikiri siyo huyu wa sasa
Kwa mfumo wa Sarri sio huu wa Lampard. Makocha waliopita walikuwa hawaweki nindhamu kwenye kambi mpaka wachezaji wanalalama ovyo wakati wa Sarri. Kwa Lampard mchezaji akicheza ovyo mchezo mmoja tu, next game hana namba na Willian analijua hilo
 
Barcelona watapiga hodii January. View attachment 1263513
Mimi ni fan mkubwa wa Willian na sasa yuko kwenye form. Napenda style ya uchezaji wake
Ukimchanganya Willian, Kovacic na Pulisic, defense za timu pinzani ziko kwenye wakati mgumu. Akiondoka Willian tutapata pengo sana angalau mwaka huu na mwaka ujao ili vijana wadogo wapate experience na ukakamavu kutoka kwa hao wakongwe ambao bado wako kwenye form. Chelsea wangempa tu mkataba anaoutaka Willian wa miaka miwili
 
Kwa mfumo wa Sarri sio huu wa Lampard. Makocha waliopita walikuwa hawaweki nindhamu kwenye kambi mpaka wachezaji wanalalama ovyo wakati wa Sarri. Kwa Lampard mchezaji akicheza ovyo mchezo mmoja tu, next game hana namba na Willian analijua hilo
Ndiyomaana David Luis aliamua kulalambele mapema kukwepa hayo.
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom