BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 4,991
- 9,232
Punguza povu mkuuLimefungwa ngapi na ubovu wake?
Punguza povu mkuuLimefungwa ngapi na ubovu wake?
Ngoja ngoja mkuu usiwe na haraka kwa hali hii tunasema kwamba days are numbered hata Sari na OGS walianza hiv kwenye EPLKuna mtu anauitaga huu ni ushindi wa tabu...hahahahah yaani mnapata taabu kwa newcastle.....hahahaha
Ok nimekuelewaOk Mzee baba tupo pamoja, ila jitahidi kubadili uandishi bhn.
Sasa nani aliyesema kuwa atujui historia ya timu yetu ya chelseaSasa kwanini kama umeelewa kuwa nilimaanisha SALAH lakini ukashupaza na kukakamaza misuli ya kichwa na shingo katika suala la r na l na kuacha hoja ya msingi kuwa wewe na wenzio hamjui history ya kitimu chenu mnakuja kuaibisha washabiki wenzenu humu jamvini?
Huyo VVD kwan ni mbaya? Anacheza Chelsea? Mimi nimesema VVD ni mbaya?Afu we nae kila mchezaji mzuri kwako huwa ni wa chelsea, mahaba yasikuzidi broh!
Punguza povu mkuu
Ngoja ngoja mkuu usiwe na haraka kwa hali hii tunasema kwamba days are numbered hata Sari na OGS walianza hiv kwenye EPL
Wacha maneno kijanaHuyo VVD kwan ni mbaya? Anacheza Chelsea? Mimi nimesema VVD ni mbaya?
Umekurupushwa kijana
Wakirudi wote Chelsea itachukua WORLD CUP, hilo liko wazi linajulikana , Au vipi bwana?Imagine tunapata matokeo mazuri ikiwa rudiger,loftus cheek,ngolo kante,emerson wapo injury what if wakarudi wote kuwa fit Chelsea itakuwaje na waonea huruma team pinzani.
MkuuKaanze kwanza kusoma historia ya mpira, halafu ndio uwe unakuja ku cooment...
Ngoja tukuelekeze kwanza , kwanza kaa ukijua philipe luiz kaja na diego costa kwa wakati mmoja, na philipe luis hajacheza na drogba wala esien, philipe luis ni wajuz juz tu...
Football.London mimi huwa napenda rating yao Kwani inaendana na nilivyowaona wachezaji kibinafsiHiyo ni rating ya hao wenye hiyo app. Hata wewe unaweza kuwa na ya kwako.
Magoli ya kufunga 1 wao sifuriKuna mtu anauitaga huu ni ushindi wa tabu...hahahahah yaani mnapata taabu kwa newcastle.....hahahaha
Sari alimaliza wa tatu na Europa kachukuaNgoja ngoja mkuu usiwe na haraka kwa hali hii tunasema kwamba days are numbered hata Sari na OGS walianza hiv kwenye EPL
Huyu dogo nilikuwa namuona mchoyo zamani. Lakini ninachokiona sasa ni kitu tofauti sana.Odoi ni veru sharp, anawaona wenzake kwa haraka na kila saa ana mentality ya kufunga magoli. leo angekuwa na assists sio chini ya 3 kama Willian asingepoteza krosi nzuri ya Odoi
Rudi post ya kwanza iliyoanzisha huu mjadala.Wacha maneno kijana
Kwa hyo tunakubali VVD > JT26, Au vipi bwana?
Itakuwa ni ujinga mtu mwenye uhakika wa namba timu ya taifa kumwacha.Mzee baba Giroud ni mchezaji muhimu sana we mwenyewe umeona tamy Abraham ameshindwa kutubeba kwenye mechi kubwa.Giroud ametupeleka nusu fainali ya fa mwaka Jana lakini pia fainali na arsenal alifunga goal moja na kutoa assist kwa hazard lakini pia mechi na Liverpool supercup alifunga goal kwa mguu lakini pia usisahau pia alikuwa top score wa Europa league so usimdharau giroud hata kidogo Kuna game zitawakataa hao madogo alafu alternative player tumkose Kama tutamuuza giroud.Lampard anatakiwa ampe nafasi giroud at least kidogo kuliko kumpotezea Giroud ni muhimu sana kwenye game za kuamua mechi nafikiri ampe mechi kubwa tuone Kama atamuangusha.