Odoi man of the match, Pulisic kaingia kipindi cha pili lakini ukiangalia player ratings kapewa 8 out of 10 sawa na Odoi
Alikua na impact kubwa sana

Hapana siyo Odoi. Hiyo ndiyo final rating s ya wachezaji kwa leo
IMG_4956.JPG
IMG_4958.JPG
 
Nyinyi ndio mashabiki wa chelsea mnaotuhaibisha mtaani, tuonekane mashabiki wengine wa chelsea hatujui mpira....
Ndio nyinyi mnaosema chelsea iliyochukua uefa ndio chelsea bora, wakati ile ndio chelsea mbovu kupita zote...
Aiseeh mkuu,hebu wape darasa hawa ndugu zetu
 
Kwan ishu ni umeelew au haujaelew kwa maan umeishiw mada
Sasa kwanini kama umeelewa kuwa nilimaanisha SALAH lakini ukashupaza na kukakamaza misuli ya kichwa na shingo katika suala la r na l na kuacha hoja ya msingi kuwa wewe na wenzio hamjui history ya kitimu chenu mnakuja kuaibisha washabiki wenzenu humu jamvini?
 
Back
Top Bottom