Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Odoi kawa mchezaji wa pili mwenye umri wa 18yo Katika historia ya EPL kutoa assists kwenye mechi 3 mfululizo za EPL tangu Enzi za Owen
Kwa virekodi vya kuokoteza hamjambo.....hii nayo rekodi?????
 
Yule mtabiri Tambitambi wa game 10 za mwanzo amekimbia siku hizi haonekani. Tukambushe sa ivi tuko game ya 9
Sasa umefika hizo game 10 ???ujue nyinyi mna vichwa vigumu sana,mambo madogo mnashindwa kuelewa namna hii khaaaaa
 
Kama mlivyobeba mwaka jana na mwaka juzi mzeebaba......
Si ndio mzebaba mwaka juzi tulibeba FA na mwaka jana tukabeba Europa ...na mwaka huu tutabeba tena ...kama utaki Mesa wembe ..au weka mguu mfukoni...
 
Kwa virekodi vya kuokoteza hamjambo.....hii nayo rekodi?????

Yani Huyo jamaa Kueka Rekodi uchwara hazidiwi!
Usijeshangaa kukuwekea rekodi za mchezaji wa Chelsea aliyepiga Danadana nyingi kuliko wote kwenye Mazoezi.
 
Nyie si ndio hamuwajui Hernan Crespo na Gudjohnson hahahahaaaa sasa kama hao wachezaji wa juzi tu huwajui utawajua kina Celestin Babayaro,TAF,Zola,na kina Didier Deschamps nyie Generation ya kina Mason Mount na Odoi ni kwikwi aseeeehhhh

Hao mashabiki wa Timu iliyoanzishwa 2005 watawajuaje kina George Wheah Kuwa waliwahi kicheza Chelsea!!!!
Hao waulize Tomori na Mount tu
 
Si ndio mzebaba mwaka juzi tulibeba FA na mwaka jana tukabeba Europa ...na mwaka huu tutabeba tena ...kama utaki Mesa wembe ..au weka mguu mfukoni...
Kwani hivyo si ndio munaviitaga mickey mouse cup????
Leo vipi????kwa hivyo unakili kuwa EPL bado sanaaaaa....
 
Sasa umefika hizo game 10 ???ujue nyinyi mna vichwa vigumu sana,mambo madogo mnashindwa kuelewa namna hii khaaaaa
Hebu niambie nani kichwa ngumu hapa. Nimesema tumkumbushe sasa ivi tupo game ya 9. Nani kasema tumefika game 10?
 
Kwa virekodi vya kuokoteza hamjambo.....hii nayo rekodi?????
Wakuu kwani nyie kinawauma nini? Kama ni record uchwara si imetumwa jukwaa la Chelsea, mbona mnataka kuingilia uhuru wa kikatiba wa watu?
Yani Huyo jamaa Kueka Rekodi uchwara hazidiwi!
Usijeshangaa kukuwekea rekodi za mchezaji wa Chelsea aliyepiga Danadana nyingi kuliko wote kwenye Mazoezi.
Chuki ni mbaya sana
 
Inawezekana unachokisema kisiwe sahihi. Lampard alisajiliwa Chelsea 2011 kutoka West Ham akiwa na miaka 22 lakini aliwaka miaka yake yote akiwa Chelsea na kuwa mfungaji wa magoli ambaye hajawahi kutokea.
2011?????? Aisee
 
Huyu dogo nilikuwa namuona mchoyo zamani. Lakini ninachokiona sasa ni kitu tofauti sana.

Mimi nauona uchezaji wake kama wa hazard siyo mchoyo wa kutoa assist, anaangalia nani yupo kwenye position nzuri ya kufunga huku akiwapoteza mabeki.
 
Nilichokiona game yetu ya jana Vs Newcastle.

Hawa jamaa ni wagumu sana kuanzia back line yao kiungo mpaka washambuliaji kiukweli wakati game inaanza nilikua sifikirii kama tutapata clean sheet though nilijua ushindi tutapata. Kiuchezaji kwa kuangalia mfumo wao waliingia na 5-4-1 yan nadhan walijidhatiti kuja kutafuta point darajani kama siyo ushindi basi draw ukizingatia na sisi mfumo tuliotumia 4-3-3 na ndio maana tulimiliki mpira lakini bado ilikua ngumu kuwafunga kwa sababu ya solidness ya back yao.

Upande wetu kwenye backline naona bado kuna mapungufu japo tunazifi kuimarika. Pair anayoitaka Lampard bafo haijapatikana lakini jana Zouma alijitahidi tofauti na siku za nyuma nadhani majeruhi wakipona wanaweza kuwa msaada. Mwisho naomba niwe wa kwanza kusema Barkley auzwe January, CHO anakuja kuwa mchezaji hatari EPL, Pulisic the best is yet to come, wengine wote tunafahamu shughuli yao.

Mimi wapili kukusaporti kuwa barkley aondoke ameshindwa kushine chelsea.
 
Shida yako ni kitu kimoja tu! Nilipotaja Youngsters umekariri ni asilimia 100%...

Kwani sijui Kuwa Gerrard alianza kuika Liverpool akiwa youngster na akadumu kwenye Consistency?

King Ngwaba nakusalimu🤝

Umeadimika siku hizi. Karibu uwaone vijana wanavyotandaza boli huku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom