Kaanze kwanza kusoma historia ya mpira, halafu ndio uwe unakuja ku cooment...
Ngoja tukuelekeze kwanza , kwanza kaa ukijua philipe luiz kaja na diego costa kwa wakati mmoja, na philipe luis hajacheza na drogba wala esien, philipe luis ni wajuz juz tu...
Phillipe Luis unamfahamu alienda Atlentico. Alitoka Chelsea...sasa unasemaje???
 
Nyinyi ndio mashabiki wa chelsea mnaotuhaibisha mtaani, tuonekane mashabiki wengine wa chelsea hatujui mpira....
Ndio nyinyi mnaosema chelsea iliyochukua uefa ndio chelsea bora, wakati ile ndio chelsea mbovu kupita zote...

Barkley angebaki angetucost sana, uwepo wake kiungo ilikuwa soft sana.

Kovacic na Pulisic wamebadilisha sana mchezo.

Mechi ya leo makosa hayakuwa mengi sana defence yetu inaendelea kuimarika

KEPPA clean sheet ya 2 mfululizo

In general tumecheza kawaida, cha muhimu zaidi ni POINT 3 MUHIMU.

TUJIPONGEZE.
 
Hapana, tumecheza vizuri ila kipa wa newcastle alicheza vizuri zaidi., kuingia kwa kovacic kumefanya timu ipande vizur, alikuwa na uwezo kuchukua mpira chini na kupanda mashambulizi, amekaba vizur, nazan leo alipaswa kuwa man of the match
Barkley nazan bado hana kiwango cha kucheza chelsea, barkley ni kama bakayoko, ballcontrol zero, hawez kupandisha timu... yy leo ndio poor man of the match

Kuwa mpole sasa
 
Ana miaka 18 tu. Toka aliporudi kutoka majeruhi Game 4 Assist 4. Mliosema kwanini bayern wanamtaka mtakuwa na majibu sasa.
EHQL4O0U4AIPHcM.jpeg
 
Hapana, tumecheza vizuri ila kipa wa newcastle alicheza vizuri zaidi., kuingia kwa kovacic kumefanya timu ipande vizur, alikuwa na uwezo kuchukua mpira chini na kupanda mashambulizi, amekaba vizur, nazan leo alipaswa kuwa man of the match
Barkley nazan bado hana kiwango cha kucheza chelsea, barkley ni kama bakayoko, ballcontrol zero, hawez kupandisha timu... yy leo ndio poor man of the match
Nadhani man of the match atakuwa Willian maana naye kapambana sana leo
 
Back
Top Bottom