Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,468
- 14,621
Na wanaume wangekuwa hivi ingekuwa bonge la burudani sana
Tungoje Man City wamalize ubora wao 😭Na wanaume wangekuwa hivi ingekuwa bonge la burudani sana
Siku Pep akistafu ndio ubora wao utakapoishia kama man u ya fagTungoje Man City wamalize ubora wao 😭
Mgonjwa kaanza kula.Makenge taratibu yanarudi kwenye ubora.
Kadi ya kizembe kweli aliyonisababishia, tuombe asijepewa kadi nyingine ikatugharimu Chelsea SC.Fofana hayuko makini