Sasa kwanini kama umeelewa kuwa nilimaanisha SALAH lakini ukashupaza na kukakamaza misuli ya kichwa na shingo katika suala la r na l na kuacha hoja ya msingi kuwa wewe na wenzio hamjui history ya kitimu chenu mnakuja kuaibisha washabiki wenzenu humu jamvini?
Sasa nani aliyesema kuwa atujui historia ya timu yetu ya chelsea
 
Imagine tunapata matokeo mazuri ikiwa rudiger,loftus cheek,ngolo kante,emerson wapo injury what if wakarudi wote kuwa fit Chelsea itakuwaje na waonea huruma team pinzani.
Wakirudi wote Chelsea itachukua WORLD CUP, hilo liko wazi linajulikana , Au vipi bwana?
 
Kaanze kwanza kusoma historia ya mpira, halafu ndio uwe unakuja ku cooment...
Ngoja tukuelekeze kwanza , kwanza kaa ukijua philipe luiz kaja na diego costa kwa wakati mmoja, na philipe luis hajacheza na drogba wala esien, philipe luis ni wajuz juz tu...
Mkuu

2014-2015 Felipe Luis hakuwa Chelsea na Drogba???
 
Hiyo ni rating ya hao wenye hiyo app. Hata wewe unaweza kuwa na ya kwako.
Football.London mimi huwa napenda rating yao Kwani inaendana na nilivyowaona wachezaji kibinafsi

Wachezaji watatu wamepewa rating ya juu ya 8
  1. Jorginho
  2. Zouma na
  3. Odoi
Leo Zouma kucheza vizuri amekuwa very sharp kuokoa mipira na kiujumla kucheza akiwa ametulia na ninamuona Zouma akizidi kucheza kwa utulivu kila mechi, ambaye bado hajatulia ni Tomori
 
Ngoja ngoja mkuu usiwe na haraka kwa hali hii tunasema kwamba days are numbered hata Sari na OGS walianza hiv kwenye EPL
Sari alimaliza wa tatu na Europa kachukua
OGS kamaliza wa sita bila kikombe
Sasa wewe ulitaka kusema nini? au umetumia haki yako ya kikatiba kutype kwenye keyboard na kupublish. Hongera sana
AU ulitaka kumaanisha OGS na Unai?
 
Odoi ni veru sharp, anawaona wenzake kwa haraka na kila saa ana mentality ya kufunga magoli. leo angekuwa na assists sio chini ya 3 kama Willian asingepoteza krosi nzuri ya Odoi
Huyu dogo nilikuwa namuona mchoyo zamani. Lakini ninachokiona sasa ni kitu tofauti sana.
 
Callum Hudson-Odoi (18y 346d) is the second youngest player in Premier League history to assist in three consecutive appearances. Golden boy. #CFC
IMG_20191020_065443.jpeg
 
Nilichokiona game yetu ya jana Vs Newcastle.

Hawa jamaa ni wagumu sana kuanzia back line yao kiungo mpaka washambuliaji kiukweli wakati game inaanza nilikua sifikirii kama tutapata clean sheet though nilijua ushindi tutapata. Kiuchezaji kwa kuangalia mfumo wao waliingia na 5-4-1 yan nadhan walijidhatiti kuja kutafuta point darajani kama siyo ushindi basi draw ukizingatia na sisi mfumo tuliotumia 4-3-3 na ndio maana tulimiliki mpira lakini bado ilikua ngumu kuwafunga kwa sababu ya solidness ya back yao.

Upande wetu kwenye backline naona bado kuna mapungufu japo tunazifi kuimarika. Pair anayoitaka Lampard bafo haijapatikana lakini jana Zouma alijitahidi tofauti na siku za nyuma nadhani majeruhi wakipona wanaweza kuwa msaada. Mwisho naomba niwe wa kwanza kusema Barkley auzwe January, CHO anakuja kuwa mchezaji hatari EPL, Pulisic the best is yet to come, wengine wote tunafahamu shughuli yao.
 
Mzee baba Giroud ni mchezaji muhimu sana we mwenyewe umeona tamy Abraham ameshindwa kutubeba kwenye mechi kubwa.Giroud ametupeleka nusu fainali ya fa mwaka Jana lakini pia fainali na arsenal alifunga goal moja na kutoa assist kwa hazard lakini pia mechi na Liverpool supercup alifunga goal kwa mguu lakini pia usisahau pia alikuwa top score wa Europa league so usimdharau giroud hata kidogo Kuna game zitawakataa hao madogo alafu alternative player tumkose Kama tutamuuza giroud.Lampard anatakiwa ampe nafasi giroud at least kidogo kuliko kumpotezea Giroud ni muhimu sana kwenye game za kuamua mechi nafikiri ampe mechi kubwa tuone Kama atamuangusha.
Itakuwa ni ujinga mtu mwenye uhakika wa namba timu ya taifa kumwacha.
 
Back
Top Bottom