Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mpira ndivyo ulivyo huwezi kushinda mechi zote mechi unayotoka droo inakufanya uongeze bidii ktk mechi inayofuata, lakini kwa ujumla tim yetu ni nzuri ingawa mechi ya jana kulikuwa individual mistake katika beki line ambazo zilitaka kutucost.
Timu yetu inacheza vizuri ukifananisha na tim tunazocheza nazo ndiyo maana tunatembea kifua mbele kwamba kombe halali yetu msimu huu
 
Mkuu tatizo sio beki line.... Swala ni kwamba Chelsea wakipata goli basi hawachezi tena kwa nguvu kutafuta goli na hii naona inasababishwa na sababu kadhaa.. Kwanza Wana Angalia ratiba ya game itakayofata na pia wanaona km wataendelea kutafuta goli lingine kwa nguvu wanaweza kupata majeruhi ya mtu kuumia kwa maana hiyo wakipata goli basi mbinu inabadilaka na kubaki kushambulia kwa kushitukiza tu kidogo kidogo.....!
 
mkuu unachosema ni sahihi lakini ukumbuke kuwa kuna tim kuzishinda goli zaidi ya moja ni kazi kubwa mno kutokana na wawo walivyojipanga,hivyo unapotaka kupata goli la pili inaweza kusababisha wakasawazisha refer counter attack ya qpr iliyosababisha goli la kusawazisha. chelse alikuwa anashambulia ili kupata goli la 2 lakini alivyopoteza mpira ndipo wakasawazisha kumbe kwa mtazamo wangu tim yetu inapotafuta goli la 2 ili kuua mchezo ni vyema wakawa waangalifu ktk kulinda goli.
lakin tim yetu bado tuna shida ya kuzuia caunter attack magoli mengi tumefungwa kupitia mfumo huu refer schalke 04,
 
Mourinho ni mtaalamu wa mpira wa Counter Attack, iweje ashindwe kuandaa Timu kuzuia Counter attack? Huwezi kuona tunapocheza na Timu kubwa tunachezewa counter attack km vi Timu vidogo vinavyofanya kwasababu wachezaji ktk big game umakini unakua juu sn, lkn ktk Timu ndogo wanakua wazembe na ndio maana Mourinho wakati mwingine amekua akisema haridhishwi na kiwango cha mchezo wa wachezaji wake...!

Nakubaliana na wewe sn mkuu, lkn kuna makosa na uzembe na zarau kwa wachezaji wetu ktk Hizi Timu ndogo na pia wachezaji naona km wameanza kuchoka vile mkuu kutokana na kushiriki mashindano mengi...!
 
Ligi ni ngumu; la muhimu sisi bado hatujafungwa..

cc. Malafyale

mkuu unachosema ni sahihi lakini ukumbuke kuwa kuna tim kuzishinda goli zaidi ya moja ni kazi kubwa mno kutokana na wawo walivyojipanga,hivyo unapotaka kupata goli la pili inaweza kusababisha wakasawazisha refer counter attack ya qpr iliyosababisha goli la kusawazisha. chelse alikuwa anashambulia ili kupata goli la 2 lakini alivyopoteza mpira ndipo wakasawazisha kumbe kwa mtazamo wangu tim yetu inapotafuta goli la 2 ili kuua mchezo ni vyema wakawa waangalifu ktk kulinda goli.
lakin tim yetu bado tuna shida ya kuzuia caunter attack magoli mengi tumefungwa kupitia mfumo huu refer schalke 04,
 
QPR ni LONDON DERBY..

haijawahi kuwa mechi rahisi mkuu Ntuzu; timu iko vizuri kwa sababu inapotaka ushindi inaupata. Nilisema tungecheza mechi 10 bila kufungwa yametimia..bado mechi 9 tu ligi ipinduke..

CHELSEA FC tuko vizuri sana..

Mourinho ni mtaalamu wa mpira wa Counter Attack, iweje ashindwe kuandaa Timu kuzuia Counter attack? Huwezi kuona tunapocheza na Timu kubwa tunachezea counter attack km vi Timu vidogo vinavyofanya kwasababu wachezaji ktk big game umakini unakua juu sn, lkn ktk Timu ndogo wanakua wazembe na ndio maana Mourinho wakati mwingine amekua akisema haridhishwi na kiwango cha mchezo wa wachezaji wake...!

Nakubaliana na wewe sn mkuu, lkn kuna makosa na uzembe na zarau kwa wachezaji wetu ktk Hizi Timu ndogo na pia wachezaji naona km wameanza kuchoka vile mkuu kutokana na kushiriki mashindano mengi...!
 
njoo uongee tena; LOSERFOOL FC.

mnacheza na Madrid alaf tunakuja kwenu kama mwaka jana; mtateleza sana mwaka huu.

Hii ni dalili ya wazi kuwa hauna maadili na ni dalili ingine kuwa wewe ni mtu wa hovyo hovyo tu!!

Mtu anayeshindwa kujenga hoja huru hadi atukane ni ushahidi mwingine kama umeshindwa kupewa maadili kwenu
 
QPR ni LONDON DERBY..

haijawahi kuwa mechi rahisi mkuu Ntuzu; timu iko vizuri kwa sababu inapotaka ushindi inaupata. Nilisema tungecheza mechi 10 bila kufungwa yametimia..bado mechi 9 tu ligi ipinduke..

CHELSEA FC tuko vizuri sana..

Nafahamu mkuu hawa Watoto wa Queens Park Rangers ni wakazi wa jiji la London na ndio maana ata ktk list ya wachezaji Jose alipanga kikosi kamili kabisa kwasababu anafahamu London derby yoyote ile hua ni ngumu ata km unacheza na Fulham au Wagonga nyundo WestHam Utd.

Ligi ni ngumu mkuu, imekua Heri tumeshinda game 10, Ngoja na Hizi 9 tuone mambo yatakavyo kua tukianza na LFC tarehe 8
 
tarehe 8 tutashinda tena..

Tufikishe pointi 29 litakuwa jambo jema.

Katika mechi 9 zilizobakia kuna pointi 27..
 
mkuu heshima mbele kwa nini umechagua mechi Tisa kuwa zitakuwa ni game za kkimapinduzi na kutoa mwelekeo wa ubingwa chelsea..?
 
+

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Sat 08 Nov 2014 12:45[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
liverpool.img.png
LIVERPOOL[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]CHELSEA
chelsea.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
bt-sport.img.png
[/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Sat 22 Nov 2014 15:00[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
chelsea.img.png
CHELSEA[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]WEST BROM
west-bromwich-albion.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"][/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Tue 25 Nov 2014 19:45[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
cl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
fc-schalke-04.img.png
FC SCHALKE 04[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]CHELSEA
chelsea.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
sky-tv.img.png
[/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Sat 29 Nov 2014 17:30[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
sunderland.img.png
SUNDERLAND[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]CHELSEA
chelsea.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
sky-tv.img.png
[/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Wed 03 Dec 2014 19:45[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
chelsea.img.png
CHELSEA[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]TOTTENHAM HOTSPUR
tottenham-hotspur.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"][/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Sat 06 Dec 2014 12:45[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
newcastle-united.img.png
NEWCASTLE UNITED[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]CHELSEA
chelsea.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
bt-sport.img.png
[/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Wed 10 Dec 2014 19:45[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
cl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
chelsea.img.png
CHELSEA[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]SPORTING LISBON
sporting-lisbon.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"][/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Sat 13 Dec 2014 15:00[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
chelsea.img.png
CHELSEA[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]HULL CITY
hull-city.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"][/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Tue 16 Dec 2014 19:45[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
lc.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
derby-county.img.png
DERBY COUNTY[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]CHELSEA
chelsea.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
sky-tv.img.png
[/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Mon 22 Dec 2014 20:00[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
stoke-city.img.png
STOKE CITY[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]CHELSEA
chelsea.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
sky-tv.img.png
[/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Fri 26 Dec 2014 12:45[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
chelsea.img.png
CHELSEA[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]WEST HAM UNITED
west-ham-united.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
sky-tv.img.png
[/TD]
[TD="class: ctas col, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

+
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: datetime col"]Sun 28 Dec 2014 14:05[/TD]
[TD="class: league col, align: center"]
pl.img.png
[/TD]
[TD="class: team1 col, align: right"]
southampton.img.png
SOUTHAMPTON[/TD]
[TD="class: scores col, align: center"]V [/TD]
[TD="class: team2 col"]CHELSEA
chelsea.img.png
[/TD]
[TD="class: broadcaster col, align: center"]
sky-tv.img.png
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

hapo game ngumu z mzunguko wa kwanza zilizobaki ni stoke, southampton, westham na newcastle, tukipata point 10 hapo tutakuwa pazuri
 
Mkuu game kumi za mwanzo ambazo zimepita ndio kulikua na game ngumu sn... Ktk Hizi 9 zilizobaki kuna unafuu kidogo....! Tena ktk Hizi 9 Jose Mourinho ataongeza nguvu sn kuhakikisha hapotezi ata mchezo mmoja.

Tutakua na EPL games 9

Captal one game moja

UEFA games 2.

Ratiba imekaa Vzr mkuu...!
 
kuna game za newcastle na stoke ndo zinakuwa ngumu ukizingatia mwak jan walichukua point zote tatu tulipokuwa ugenini.
 
Mkuu mark my words today....! Hatutopoteza tena kwa hao Newcastle na Stoke city.... Rejea game yetu na Everton pale Kwao Goodson Park nini kiliwakuta?
 
amani imatawala kila kona; maadui na wapinzani wetu wametulia kimyaaa. wanasikilizia maumivu..

qwi qwi qwi qwi..

cc. Malafyale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom