Ikifika dk 45 itakuwa 2-6
aaaaaah
Ikifika dk 45 itakuwa 2-6
Wana bahati sn hawa dada wamepata draw..!
View attachment 196667
Haya "Makadi"ya njano nia nikupewa nyekundu tu!
Kuna kitu ambacho nimekiona kwenye mechi za Chelsea dhidi ya Man City na Man Utd.
I mean the "Mikel tactical change" ambayo Mourinho huwa anafanya in big games to close the game.
Kwa kawaida Mikel anaingia dakika kama 15 za mwisho ku-replace midfielder wa pembeni kama Schurrle na Willian au numba 10 kama Oscar.
Interestingly, anapoingia Mikel hachezei hizi positions. Pia anapongia, watu wengi wana-perceive kuwa Mourinho anafanya defensive tactic.
Wengine hata hawapendi Mikel anapoingia na pass zake za kurudi nyuma badala ya kwenda mbele.
Inawezekana labda the Mikel tactical change is no longer working?
Mourinho, Ntuzu, agosti 8,

EMT kuna makosa yamejitokeza ktk game Hizo mbili ya Man City na Man Utd na kosa kubwa ni kwa Chelsea kutokuendelea kutafuta goli la pili na kukill game ata km huo uwezo wanao...! Hili lilijitokeza kwa Man City na Jana pia...! Mourinho anapaswa kuwambia wachezaji waendeleee kutafuta goli jingine na kutengeneza nafasi Zaidi za kufunga kuliko kulinda goli moja ambalo unakua Bado haujakill game..!

Sizani km kumuingiza Mikel kuna shinda, tatizo ni Timu kuamua kutunza goli moja na hii inawapa maadui kutushambulia sn...!
Mfano mechi ya Jana, kipindi cha pili tulicheza Vzr sn kwa kutafuta kufungu na kila mchezaji alicheza Vzr kwa kujiamini na kufanya vitu vya uhakika.... Lkn Baada ya kupata goli basi tukabadilika na hatukuweka umuhimu tena wa kutafuta magoli mengine..! Sass hii ndio shida hasa unapokua unaongoza kwa goli moja tu...!
Kwahiyo mkuu Jose anapaswa kubadilika ktk Hilo ingawa najaribu kuangalia namna tunavyocheza ugenini na Timu kubwa kuna kua km wachezaji hawako Huru sn ktk kushambulia tu km tuko Darajani maana game yetu na Arsenal darajani Timu ilikua Huru sn na kushambulia wakati wote sio km kwa Man City na Man Utd.
No Falcao,No Rooney,No Jones na unfit Carrick lkn bado mnasumbuliwa then mnakuja hapa kusema mna team?
Kama hawa 4 wangecheza Chelsea ingekuwa aibu Jumapili
CC Mbu
No Costa, Remy, Azplicueta, Ramires na unfit Andre Schürrle, hawa wote wangekua fit nani angepata aibu?
You make me laugh man!!
Remy?Ramires?Schurrle?Hawa 3 hata wakiwa fit wanaanzia benchi mbona?
Hauna team ni kutangulia kwa baiskeli ya miti tu
Katika jukwaa la LFC mos Def huwa ana argue kwa hoja unlike you, tafadhali jifunze kupitia kwake
Wewe una ushabiki na chuki zilizokupofua, halafu kumbe hata hujui kwa nini team zinaruhusiwa kufanya subs na kwanini team zote ambazo hufanikiwa lazima ziwe na strong bench, huyo Schürrle hata team ya taifa huwa anatokea bench, lakini pamoja na kutokea bench ndiye alitoa pasi ya goal la World Cup final

No Falcao,No Rooney,No Jones,No Valencia na unfit Carrick lkn bado mnasumbuliwa then mnakuja hapa kusema mna team?
Kama hawa 5 wangecheza Chelsea ingekuwa aibu Jumapili
CC Mbu
Kwa game ya Man City hakuna kitu Mikel alifanya na hakukua na umuhimu wa sub ya Mikel, unaongoza 0-1 against 10 men, kwanini sub ya defensive midfielder?
Lakini kwa game ya jana at least naweza kumuelewa JM, viuongo wake wote walikua na kadi (Matic, Cesc na Oscar) na kwa namna ambavyo refa alikua anagawa kadi kama njugu hawa jamaa walikua wanakaba kwa kujihami sana kwa hiyo Mikel aliingia kwenda kufanya kazi aliyokua anafanya Matic kabla hajapewa kadi
Walifungwa goal kwa sababu mtu alikua anamkaba Fellaini kwenye kona na faulo, Ivanovic alikua katolewa kwa kadi nyekundu na tukio lilitokea haraka sana hata wachezaji wa Chelsea wakasahau kutafuta mbadala wa kum-mark Fellaini aliyepiga free header iloyetemwa na kipa na kumrahisishia kazi RVP
Kama refa angechezesha vizuri match ya jana tusingekua na haya majadiliano. Man United wamshukuru sana Phil Dowd kwa hiyo draw

Duh! Ina maana haumfahamu mpiga domo wenu kuwa yeye ndiye master wa kupaki basi? Yaani unafikiri wachezaji ndiyo walioamua kutoendelea kutafuta goli la pili? Maureen ndiye meneja, ndiye aliyetoa maamuzi ya wachezaji wake kulinda goli 1!!!
Inaelekea haumfahamu vizuri meneja wenu?