kabla ujawafikia hao LAZIMA BIKRA ITOLEWE JMOC KWANZA...YNWAmechi pekee ambayo tunatakiwa kucheza mpira wa maana na nguvu ni dhidi ya Southampton. hawa wengine kwenye ligi ni washiriki tu!
kabla ujawafikia hao LAZIMA BIKRA ITOLEWE JMOC KWANZA...YNWA
*Mind the Gap*
win win win win win chelsea
Kuanzia leo najitaburisha ya kwamba mimi ni wana chelsea member!!
Kuanzia leo najitaburisha ya kwamba mimi ni wana chelsea member!!
BIKRA INATOLEWA JMOSI,,,,ANDAENI MAJI YA MOTO.,,,ni ayo tu
Leo Chelsea imecheza vbaya sana cjawahi ona toka msimu Huu uanze
katika maamuzi ya busara uliyowahi kufanya hili ni mojawapo, karibu sana mkuu.
Mwananzengo huwe unatoa "POA".......unafika kipind kibaya coz jmoc lazima majogoo wamtoe mtu BIKRA