Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Thrilling match at Wigan where they are 3-2 up on Fulham, Shaun Maloney’s 82nd minute goal the difference.
 
cjaelewa leo mbona Ivanovic kacheza wakati game na manyua alipewa red card ..........

Grand PA
 
alitakiwa ku miss mechi moja ya shrewburry town kama azpilicueta alivyoimiss na kuwa game ya pili na tatau leo,hivyo Dave atakipiga na liverpoool ila ningependa luis felipe aendelee
 
kwan.red kad ya inovenic c alipewa.kwenye league sasa inakuwaje inahesabiwa na mech ya capital one? nielewesheni.mazee
 
ukipewa kadi kwa taratibu za fa hiyo kadi utaitumikia kwenye michuano yoyote inayoandaliwa na shirikisho hilo,michuano hiyo ni pamoja epl,fa and carling cup (capital one) ndiyo maana ivanovic hakucheza mechi ya capital one siku ya jumanne kutumikia adhabu ya kadi nyekundu the same applied to azplicueta
 
La zaidi naomba wadau waongezee au wakosoe
 
it was one game missing or two?

unapopewa red kadi ya moja kwa moja kama aliyopewa azplicueta au rooney mchezaji anamiss mechi 3 lakin kwa sheria ya sasa mchezaji akipewa kadi mbili za njano ktk mchezo mmoja ambapo maana yake ni red kadi mchezaji husika anamisi mech 1 .Ndiyo maana ivanovic alimiss mech ya capital one lakin leo amecheza.
Nadhani sheria ya zamani mchezaji alikuwa anamiss mechi 2 endapo atapewa kadi 2 za njano (red kadi) nadhani mdau mwenzangu wa the blues utakuwa umeshanipata.
THE BLUES FOREVER leo QPR walitaka kutusumbua lakini vijana wamefanya kazi ya ziada kuwanyamazisha wale qpr
 
asante sana ila hazard awe mpigaji penalt wa chelsea jamaa fundi sana
 
hapa umesomeka!" nilishangaa mana nilijua mechi mbili, mi bado nilikua nakomaa na sheria ya zamani .......... nimekusoma.

Grand PA
 
kwa maana hiyo tukikutana watakaza ila wakifika kwa madogo lazima wapigwe.

I LOVE CHELSEA

Yap yap mkuu...! We si umeona Leo Loserfool kapigwa? Na game yetu na wao watajifanya kukaza sn...!
 
uzuri tunakutana wakaze tuone kaka

J5 tutakua na game ya UCL ugenini Kwao Marbor... Na uzuri ni kwamba ktk UCL uhakika wa kufuzu ktk hatua ya 16 upo mkubwa sn... Kwahiyo ktk kikosi kitakacho anza dhidi ya Marbor kitakua cha kawaida sn maana lengo tupate tu draw na si kufungwa! Ili tarehe 8 tuwe Vzr kuwapiga hawa lfc
 
btw leo nilifurahi kumwona Drogba,nahisi uliona mambo yake.
 
Jamaa yuko Vzr tena kwa wale wote mashabiki wa loserfool waliokua wanambeza sasa hawana maneno...! Wako kimya...!
 
asante sana ila hazard awe mpigaji penalt wa chelsea jamaa fundi sana

Baada ya lampard kuondoka mpigaji penati aliyebaki ni hazard.
kiukweli hazard ni mpigaji mzuri wa penart ukiachilia upigaji wa penati lakini kiuchezaji tuna bonge la mchezaji,partnership ya oscar,hazard na willian itatufanya tufarahi msimu huu kwa kuchukua kikombe
 
game ya man u nilitaka sana city afungwe ili tumuache gap kubwa, lakini kwa jinsi ninavyo ona man u hana uwezo wa kumfunga city.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom