Yohan Cruyff-Barca FC
De Stefano-Madrid
Ferenc Puskas-Madrid
Kevin Keagan-Liverpool
Denis Law-Man United
Thiery Henry-Arsenal
Nani legends haswa wa Chelsea ambaye kajengewa na yy mnara wake
Peter Osgood jamani. Si mgoogle tu mpate majibu.
Na kuna uwezekano mkubwa drogba pia akajengewa. Hofu yangu ni uafrika wake tu ndio unaweza kumponza. But speculation tayari zipo.
Kwa taarifa yako ni Kwamba, hakuna timu isiyokuwa na legend. Hata mgambo FC wana legend wao.