Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

timu pekee kutoka ligi ya EPL inayoongoza kundi kwenye UCL.
timu pekee ambayo haijafungwa kwenye mechi yoyote ya mashindano msimu huu.

CHELSEA FC -

Eehehehe una tafuta sare kwa Marboro?Nguvu ya soda ilikuwa mechi za kwanza sasa unaanza kukalishwa na unaanza Jmosi hii
 
PIA tulifunga goli 1 likakataliwa usisahau.

tulicheza vizuri kama kawaida..

so far so good; neighbor..

tutavuka tu kwenda hatua inayofuata; najua na nyie mtavuka..

maisha yanaendelea;UNBEATEN IN 16 GAMES = ALL COMPETITIONS.

Kama kawa, mlipata penati pia, ila ukitegemea sana penati mida fulani huwa zinaota mbawa.
 
agosti 8 The Ligend

PIA tulifunga goli 1 likakataliwa usisahau.

tulicheza vizuri kama kawaida..

so far so good; neighbor..

tutavuka tu kwenda hatua inayofuata; najua na nyie mtavuka..

maisha yanaendelea;UNBEATEN IN 16 GAMES = ALL COMPETITIONS.
 
Last edited by a moderator:
PIA tulifunga goli 1 likakataliwa usisahau.

tulicheza vizuri kama kawaida..

so far so good; neighbor..

tutavuka tu kwenda hatua inayofuata; najua na nyie mtavuka..

maisha yanaendelea;UNBEATEN IN 16 GAMES = ALL COMPETITIONS.

Sawa mkuu. Nawatakia heri zote, ila SITAKI muwe invincibles, mtavuruga cv yetu.
 
PIA tulifunga goli 1 likakataliwa usisahau.

tulicheza vizuri kama kawaida..

so far so good; neighbor..

tutavuka tu kwenda hatua inayofuata; najua na nyie mtavuka..

maisha yanaendelea;UNBEATEN IN 16 GAMES = ALL COMPETITIONS.

Kaka naona umeanza kukata tamaa sasa "tulipata bao likakataliwa"! Refa akilikataa ina maana siyo bao!

Why uende hadi kutegemea penalty kwa Marboro?Je hujui kuwa washindi kundi lenu kutawaondolea uwezekano wa kukutana na miamba kana Munich na Madrid?

Mm isha washtukia nyie kama mmeanza kutepeta kama kawaida yenu kwenye game ya Man U na QPR

Jumamosi nakupiga easy kabisa
 
Acha maneno yasiokua na maana yoyote.... Ndio jamaa zako hukwambia wewe Ni mbishi Lkn timu yenu iko hovyo...!

Mmekwenda Santiago hamkucheza Mpira wowote Zaidi ya kupaki Basi tu...! Dakika 45 za kipindi cha kwanza hamkupiga shuti ata moja golini kwa Madrid....! Nenda kawauize Marbor hiyo shughuli ya Jana ilikuaje Kwao...... We unafikiri Chelsea Ni sawa na timu zeno hizo za mawazo?

Walete hapa Munich uone kz, walete hapa Madrid uone kz.....! Poor loserfool....!
 
Kuifananisha Marboro na RM ni kosa kubwa sana tena la kiufundi!Ronaldo hawezi ondoka bila bao siku mnacheza!!

Mmepata sare na Marboro na itabakia hivyo kwenye rekodi za UEFA milele daima!Mshahara wa Costa wa wiki unawalipa wachezaji wote wa Marboro bado anakusimamisha!

Team isha anza kuwa laini hii sasa mnaanza kupigwa
 
Bora sisi tunashangilia draw Lkn sio nyie mnashangilia kufungwa goli moja na Madrid.....! Kwendeni zenu loser...!

Draw na Marboro ambayo the highest paid player anachukua pound 1000?

Feeling very sorry to Chelsea fellaz
 
Mmepata sare na Marboro na itabakia hivyo kwenye rekodinza UEFA milele daima!Mshahara wa Costa wa wiki unawalipa wachezaji wote wa Marboro bado anakusimamisha!

Team isha anza kuwa laini hii sasa mnaanza kupigwa

Ata km tumepata sare na Marbor wao ndio walioponea ktk tundu la sindano.... Tumecheza Mpira mzuri sio km Mpira wenu juzi na Madrid Mpira mbaya butu.....!
Leo tarehe 6 tarehe 8 sio mbali subiri moto unakuja...! Hapo ndo utajua km tumeanza kupoa au vipi...!
 
Draw na Marboro ambayo the highest paid player anachukua pound 1000?

Feeling very sorry to Chelsea fellaz

Timu inayoshiriki UEFA sio timu ndogo siku zote au sio timu mbovu.... Ndio maana yanaitwa mashindano ya mabingwa ulaya.... Hivyo Marbor na wao Ni mabingwa ata km mishahara ya wachezaji Ni midogo..,

Tumecheza michezo 16 mpk sasa hakuna Mchezo ata Mmoja ule tumefungwa mpk sasa..,

Nyie loser vp? Hao vidume wenu Madrid vip? Munich? Timu zote zimefungwa kasoro kidume peke Yake Chelsea..., Shem on you loser....!
 
siyo kwamba eti leo ndio nimeamua kujiunga na chelsea!

ni mwanachelsea wa mda mrefu sana kuanzia 2004, hadi leo ni miaka kumi.

khe khe khe khe khe khe khe ndio maana mnaambiwa wengi wenu mmeipenda chelsea kwa ajili ya ABRAMOVICH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom