Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

umetaka legends wa CHELSEA FC..acha utoto mtu mzima wewe..ntakutukana bure nipigwe BAN.

jiheshimu; kama huwezi kaaa kimya..

Khaa kama Terry na Lampard nao ni legends,basi nae Welbeck atakuwa legend wa Man U
 
Lampard = mchezaji aliyefunga magoli mengi kuliko wote katika historia ya Chelsea fc.
Terry kapteni mwenye mafanikio zaidi katika historia ya timu..

Malafyale tuachie timu yetu.
 
umetaka legends wa CHELSEA FC..acha utoto mtu mzima wewe..ntakutukana bure nipigwe BAN.

jiheshimu; kama huwezi kaaa kimya..

Chelsea HAMNA legends bado sababu miaka 16 tu iliyopita mlikuwa UNKNOWN team duniani!
 
can you mention domestic titles for the past two decades

Two decade=20 yrs!!

2000:Liverpool 2 Arsenal 1
Owen dakika ya 83;88

2005:Liverpool 3 Westham 3 tukashinda kwa penalty

Mechi iliyobatizwa na FA kama "Steven Gerald Final"kwa mkwaju wake wa yard 30 kuisawazishia Majogoo zikiwa zimebaki sekunde
 
pole sana.

Sahau Arsenal,Man U,liverpool ndo hawana mbele wala nyuma,juzi niliangalia mechi ya man city wakiwa kwao against new casttle mwanzo mwisho,aisee man city niliwaogopa sana kwamba ndo watatupa challenge,kumbe wachovu,tu,uefa walizinguliwa na bayern,wakaja kutoa draw na SKA Moscow,pamoja na draw ya Roma, timu chovu,aisee sasa nye wengine kama liverpool,arsenal,man u mtajifananisha na uwezo wa man city kwa msimu huu??
 
Do you know cups chelsea has collected for a decade.....
 
Wakuu, hivi game ya Bayern na Dortmund inachezwa saa ngapi kwa saa za kibongo hapo kesho?
 
Sahau Arsenal,Man U,liverpool ndo hawana mbele wala nyuma,juzi niliangalia mechi ya man city wakiwa kwao against new casttle mwanzo mwisho,aisee man city niliwaogopa sana kwamba ndo watatupa challenge,kumbe wachovu,tu,uefa walizinguliwa na bayern,wakaja kutoa draw na SKA Moscow,pamoja na draw ya Roma, timu chovu,aisee sasa nye wengine kama liverpool,arsenal,man u mtajifananisha na uwezo wa man city kwa msimu huu??

Hizi Timu km LFC na Arsenal na Man City Na Man Utd hua zikiwa zinakutana na Chelsea zina kaza sn lkn zikiwa zinacheza na Timu za kawaida zinakua hovyo sn...!

Msimu huu mpk sasaivi ni Chelsea tu ndio imeonyesha mpira wa ushindani na kudhamiria kuchukua makobe.
 
CHELSEA FC EUROPIAN CUP WINNERS 1971..

uliza swali linguine kubwa jinga.

Hii ni dalili ya wazi kuwa hauna maadili na ni dalili ingine kuwa wewe ni mtu wa hovyo hovyo tu!!

Mtu anayeshindwa kujenga hoja huru hadi atukane ni ushahidi mwingine kama umeshindwa kupewa maadili kwenu
 
Yohan Cruyff-Barca FC
De Stefano-Madrid
Ferenc Puskas-Madrid
Kevin Keagan-Liverpool
Denis Law-Man United
Thiery Henry-Arsenal

Nani legends haswa wa Chelsea ambaye kajengewa na yy mnara wake

Peter osgood
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom