Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ntuzu msikie Gary Neville, naupenda sana uchambuzi wake, yeye, Andy Gray, Callagher na Lineker

'If a team are going to be playing for a 1-0 then you better see it out,' Neville said on Monday Night Football. 'When I saw Jose Mourinho two weeks ago he talked about the 2005 (Chelsea) team and (compared) the team he had then to the team he has now and he said the killer instinct's missing.
'When I look at the statistics they are staggering - 28 times they (the 2004/05 team) scored first (in Premier League matches), 27 the season after and they only dropped two and four points (respectively).
'This team this season, even though they're at a really high level, have scored first seven times and already dropped four points. They've got to get to that next level.'
'When (Manchester) City went down to 10 men I thought Chelsea let them off the hook and yesterday at 1-0 up I think Chelsea let United off the hook.
'There's a mentality shift.
'At Manchester City they went from 55 per cent possession for the 10 minutes before the goal, and the 10 minutes after they went to 26 per cent possession, and City had 10 men. That can't be an instruction from the manager. That's a shift in the players.
'Yesterday (against Manchester United) they went from 64 per cent (possession before scoring) to 45 per cent (after scoring). They switch off.
'This is not the manager changing it. The players who have worked themselves into a 1-0 lead have then sat deeper.'
cc; EMT

Ni uchambuzi mzuri mkuu na Kama nilivyosema Hapo awali kua Mourinho atakua amejifunza kitu kutokana na Hizo game mbili na tunahitaji kuona mabadiliko ktk game ya LFC Hapo tarehe 8.
 
Last edited by a moderator:
Yes I do.....!

Na ndio maana Jose Mourinho ktk maelezo Yake kabla ya game ya Arsenal pale dajani msimu huu alionekana kuzungumzia sn hii rekodi iliyowekwa na Arsenal na kuwasifu sn na akasema kwamba Hichi kitu hutokea ktk Timu au ligi Mara moja Baada ya miaka 50 hivi...! Lkn kwa Mimi ninavyomfahamu Mourinho Vzr hii ndio dhamira yake ingawa hajaiweka wazi lkn huu ndio mpango uliopo nyuma...!

Na ukiangalia Fixtures yote iliyobaki km tutakua away kwa Liverpool tarehe 8 na kwa Arsenal ktk mzunguko wa pili. Lkn Man City na Man Utd na Liverpool ktk mzunguko wa pili watakuja kwetu...... Kwahiyo mkuu sioni kitisho cha kupoteza Hizo game...... Na Timu za kawaida tumekua tunazipiga kumbo tu.....!

Kwa hiyo ndio ivo mkuu...! Ninaamini na hiki kinakwenda kutokea mkuu...!

Kila la kheri, me silioni hilo likitokea kwa ligi hii Mkuu na kwa Chelsea hii
 
Ni uchambuzi mzuri mkuu na Kama nilivyosema Hapo awali kua Mourinho atakua amejifunza kitu kutokana na Hizo game mbili na tunahitaji kuona mabadiliko ktk game ya LFC Hapo tarehe 8.

Una ugomvi na LFC nini? Mbona huwaongelei West Ham, Southampton au Spurs? Na Newcastle je ambako JM hajawahi kushinda game nyumbani kwao?
 
Kila la kheri, me silioni hilo likitokea kwa ligi hii Mkuu na kwa Chelsea hii

Asante mkuu.....!

Naweza kubaliana na wewe ktk kitu kimoja.....km marefa watakua wa aina hii, basi hili litakua gumu kutokea.... Lkn wakichelewa marefa kuamka na kutufanyia fitna basi watakuja kushituka Bado game 5 hivi na hatujapoteza ata moja....!
 
Una ugomvi na LFC nini? Mbona huwaongelei West Ham, Southampton au Spurs? Na Newcastle je ambako JM hajawahi kushinda game nyumbani kwao?

Mkuu Nafikiri wewe ni mfatiliaji sn wa mpira.... Kuna kitu utakua umekiona kwa chelsea hasa anapokua away ktk Hizi Timu kubwa... Uchezaji wake pamoja na umakini wake unakua wa Hali ya juu sn... Ni tofauti sn wanapokua ktk Timu za kawaida ktk Uchezaji wao... Kwahiyo mkuu ktk Timu ulizozitaja Hapo nakubali kua ni ngumu na Timu zote za EPL ni ngumu lkn kunakua na utofauti wa namna ya kukabiliana nao sio sawa na Hizi big four teams....!
 
Take it easy bro...! Ndo mambo ya mpira....!

Huyu RRONDO alipotea sn Hapo nyuma amekuja kuibuka Baada ya draw....! Tarehe 2 atakua na majonzi maana Man City watamfanya mbaya Huyu RRONDO

niliwaachia uwanja wenu mtambe mtakavyo ila game ya jumapili inanihusu sana ndio maana nipo hapa...tutaheshimiana tu mwaka huu....
 
niliwaachia uwanja wenu mtambe mtakavyo ila game ya jumapili inanihusu sana ndio maana nipo hapa...tutaheshimiana tu mwaka huu....

Sio ulituachia uwanja..... Ulijificha Baada ya kuona Timu yenu haina muelekeo.....!

Nani wa kumheshimu mwenzake? Nimekuja kwako umeshindwa kunifunga Khe Khe Khe Khe Khe.....!
 
EMT kuna makosa yamejitokeza ktk game Hizo mbili ya Man City na Man Utd na kosa kubwa ni kwa Chelsea kutokuendelea kutafuta goli la pili na kukill game ata km huo uwezo wanao...! Hili lilijitokeza kwa Man City na Jana pia...! Mourinho anapaswa kuwambia wachezaji waendeleee kutafuta goli jingine na kutengeneza nafasi Zaidi za kufunga kuliko kulinda goli moja ambalo unakua Bado haujakill game..!

Sawa.

Sizani km kumuingiza Mikel kuna shinda, tatizo ni Timu kuamua kutunza goli moja na hii inawapa maadui kutushambulia sn...!

Lakini unapomtoa attacking midfielder na kumweka a defending midfielder unafikiri utakuwa unatuma message gani kwa wachezaji wengine? That they should sit deep and defend more than attacking?

On one hand, it may send a message to the opposition kuwa sasa jamaa kwa kumwingiza Mikel jamaa watadefend zaidi so, let's us attack them more.

On the other hand, one could say that kuingia kwa Mikel means Fabregas atacheza kama namba ten na hivyo more attacking.
 
Kwa game ya Man City hakuna kitu Mikel alifanya na hakukua na umuhimu wa sub ya Mikel, unaongoza 0-1 against 10 men, kwanini sub ya defensive midfielder?
Lakini kwa game ya jana at least naweza kumuelewa JM, viuongo wake wote walikua na kadi (Matic, Cesc na Oscar) na kwa namna ambavyo refa alikua anagawa kadi kama njugu hawa jamaa walikua wanakaba kwa kujihami sana kwa hiyo Mikel aliingia kwenda kufanya kazi aliyokua anafanya Matic kabla hajapewa kadi
Walifungwa goal kwa sababu mtu alikua anamkaba Fellaini kwenye kona na faulo, Ivanovic alikua katolewa kwa kadi nyekundu na tukio lilitokea haraka sana hata wachezaji wa Chelsea wakasahau kutafuta mbadala wa kum-mark Fellaini aliyepiga free header iloyetemwa na kipa na kumrahisishia kazi RVP
Kama refa angechezesha vizuri match ya jana tusingekua na haya majadiliano. Man United wamshukuru sana Phil Dowd kwa hiyo draw

Wengine wanasema kuwa the aim of "Mikel tactical change" is to confuse the opposition: A Tactical Insight: How Mourinho and Mikel Manage to Confuse the Opposition
 
Remy? Ramires? Schurrle? Hawa 3 hata wakiwa fit wanaanzia benchi mbona?

Una uhakika na unachokisema?

Labda Remy kama Costa akiwa unfit.

Lakini Ramires angekuwa fit lazima angecheza ile mechi.

Oscar angekaa benchi na Fabregas angecheza number 10.

Schurrle kuna mechi zake; ila Man Utd sidhani kama ni yake.
 
samahani hivi fabregas huwa anacheza deep, alongside matic au namba 10? maanake naona kama akiwa deep ndio anatoa sana zile long assist kwa costa
 
Wengine wanasema kuwa the aim of "Mikel tactical change" is to confuse the opposition: A Tactical Insight: How Mourinho and Mikel Manage to Confuse the Opposition

Hahahahahaha.......mwandishi wa hiyo makala obviously ni mshabiki wa Mikel, me nadhani katika makocha wote waliomfundisha Mikel hakuna aliyemjulia vizuri kama Carlo Ancelotti, ila Mourinho kadumaza sana kiwango cha Mikel, Mikel wakati anatua Chelsea alikua ni attacking midfielder na alikua na kiwango cha kina Fabregas lakini change of playing position ndio imemfikisha hapo
Anyway naona kiwango chake kinazidi kushuka hapo darajani kutokana na kukosa muda wa kucheza, siku hizi hata yule dogo Nathan Ake akiingia au akianza anacheza vizuri kuliko Mikel, he seriously needs some game time.
 
Tunakwenda kuvunja Record ya Arsenal ya "UNBEATEN" msimu huu....... Mark my words mkuu..!

If this is not a joke, then I would say that is a bit disrespectful to other teams. Of course, kuna similarities kati ya kikosi cha Arsenal cha wakati ule na hiki cha Chelsea lakini kikosi cha Arsenal cha mwaka 2004 kilikuwa kikali zaidi kulinganisha na kikosi cha sasa cha Chelsea.

Lehmann alikuwa kipa kama ilivyo Courtois. Chelsea wana Costa. Kaanza kwa matata lakini hatujui kama atamaliza kwa matata. Arsenal tayari walikuwa na indisputable King Henry I.

Chelsea wana Matic lakini Arsenal walikuwa na Viera. Jamaa alikuwa a nightmare na miguu yake mirefu hata Roy Keane alikuwa anabugi pale.

Chelsea wana Fabregas lakini what about Arsenal having Denis Bergkamp? On the wings, Chelsea wana Hazard na wengine, lakini Arsenal walikuwa na Pires na Ljunberg.

So far bado sijanona timu ambayo imematch dynamic ya Pires na Ljunberg on the wings. Labda Man Utd enzi za Ronaldo na Giggs? Though Ronaldo alikuja wakati Giggs anaishia?

Kimpira, approach ya Arsenal ilikuwa more positive kulinganisha na counter attack ya Chelsea. Interestingly, Arsenal walikuwa hawachezi hii tikki takka wanayocheza siku hizi. They were clinical.

Attack ya Chelsea kama vile inamtegemea zaidi Costa na hakuna replacement kubwa kama akiumia. Kikosi cha sasa cha Chelsea hata hakijafikia kile kikosi cha msimu wa 2005/6 aka enzi za akina Robben na Duff on the wings.

Nafikiri msimu ule Chelsea walifungwa mechi moja tuu? They were pragmatic. Kama kile kikosi kingecheza leo Man City na Man City wasingerudisha yale magoli.

Timu za wakati huu siyo zile za wakati wa Arsenal. The main rival against Arsenal alikuwa Man Utd. Msimu huu kuna mechi karibu nane dhidi ya timu kama Liverpool, Man Utd, Man City, Spurs na hata Southampton. Then, ngoma zikianza kuchanganya kuna kukutana na akina Stoke, West Ham bila kuwasahau Newcastle.

Labda useme possiblity ya Chelsea kutofungwa nyumbani lakini kutofungwa msimu mzima? Sidhani!

samahani hivi fabregas huwa anacheza deep, alongside matic au namba 10? maanake naona kama akiwa deep ndio anatoa sana zile long assist kwa costa

Maneno yake mwenyewe

"Now I am playing deeper in midfield, there will be moments during the season when maybe I go five or six games without a goal or an assist, and I am more proud about the team work, the discipline, the way we coped with the sending off, than my goals or my assists. I give those to other people to talk about."

Cesc Fabregas Says He is Thriving in Deeper Chelsea Role

Where the inability of Ramires and others to turn over possession and start attacks at pace has been a hindrance for Chelsea, Fabregas appears to be the answer.
 
If this is not a joke, then I would say that is a bit disrespectful to other teams. Of course, kuna similarities kati ya kikosi cha Arsenal cha wakati ule na hiki cha Chelsea lakini kikosi cha Arsenal cha mwaka 2004 kilikuwa kikali zaidi kulinganisha na kikosi cha sasa cha Chelsea.

Lehmann alikuwa kipa kama ilivyo Courtois. Chelsea wana Costa. Kaanza kwa matata lakini hatujui kama atamaliza kwa matata. Arsenal tayari walikuwa na indisputable King Henry I.

Chelsea wana Matic lakini Arsenal walikuwa na Viera. Jamaa alikuwa a nightmare na miguu yake mirefu hata Roy Keane alikuwa anabugi pale.

Chelsea wana Fabregas lakini what about Arsenal having Denis Bergkamp? On the wings, Chelsea wana Hazard na wengine, lakini Arsenal walikuwa na Pires na Ljunberg.

So far bado sijanona timu ambayo imematch dynamic ya Pires na Ljunberg on the wings. Labda Man Utd enzi za Ronaldo na Giggs? Though Ronaldo alikuja wakati Giggs anaishia?

Kimpira, approach ya Arsenal ilikuwa more positive kulinganisha na counter attack ya Chelsea. Interestingly, Arsenal walikuwa hawachezi hii tikki takka wanayocheza siku hizi. They were clinical.

Attack ya Chelsea kama vile inamtegemea zaidi Costa na hakuna replacement kubwa kama akiumia. Kikosi cha sasa cha Chelsea hata hakijafikia kile kikosi cha msimu wa 2005/6 aka enzi za akina Robben na Duff on the wings.

Nafikiri msimu ule Chelsea walifungwa mechi moja tuu? They were pragmatic. Kama kile kikosi kingecheza leo Man City na Man City wasingerudisha yale magoli.

Timu za wakati huu siyo zile za wakati wa Arsenal. The main rival against Arsenal alikuwa Man Utd. Msimu huu kuna mechi karibu nane dhidi ya timu kama Liverpool, Man Utd, Man City, Spurs na hata Southampton. Then, ngoma zikianza kuchanganya kuna kukutana na akina Stoke, West Ham bila kuwasahau Newcastle.

Labda useme possiblity ya Chelsea kutofungwa nyumbani lakini kutofungwa msimu mzima? Sidhani!

Well said Mkuu
Chelsea hii ina top performers wasiozidi watano, JT, Matic, Fabregas, Hazard na Costa......imagine siku Chelsea iwe na majeruhi kwenye beki yake kama waliyonayo Man United, say JT, Brana na Cahill wawe majeruhi, watacheza kama wanavyocheza na kupata same results?
Ndio maana na mimi nilimkatalia Ntuzu hapo juu kuhusu kumaliza msimu bila kufungwa, hivi how do you replace Matic? Halafu Mourinho anacheza mchezo ambao kwa kiasi kikubwa anaamrishwa na uongozi wa Club kuutumia, siyo vile ambavyo yeye binafsi angecheza kama angekua na maamuzi 100% on how to play, kwa maana hiyo JM anatumia mfumo asioujua vizuri na asiouamini completely.
Na hii ni weakness ambayo akikutana na team zitakachocheza counter attack football kama West Ham na New Castle, maswali mengi sana yataulizwa kuhusiana na hii so called 'invincible' Chelsea ya Ntuzu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom