Shwari tu, kama hakuna andiko basi subiri kichapo Jumapili...
Kichapo Hakuna mkuu...! Yani Leo Van Gaal anapigwa mpk aione ligi chungu....!
Muwashikishe kwa maneno tu, Manchester ndio huwa inavunja rekodi... hamjafungwa ila leo Manchester wanavunja nafikiri itakuwa hivyo...Wakuu Leo Ndio Leo......!
Tuko pale OT kuwashikisha adabu Mashetani wekundu....!
Cc: Mkuu wa chuo Eiyer
Kichapo Hakuna mkuu...! Yani Leo Van Gaal anapigwa mpk aione ligi chungu....!
Leo tukimpiga man u yani tutaweka heshima sana.... Tutabaki kuwasubiri wale wanaosubiri balotelli aswap jersey wambebeshe lawama hahaha!
Muwashikishe kwa maneno tu, Manchester ndio huwa inavunja rekodi... hamjafungwa ila leo Manchester wanavunja nafikiri itakuwa hivyo...
Labda kwa Liverpool ndio ningekubali inaweza ikawa hivyo, ila kwa Manchester sina uhakika kama itakuwa hivyo...
Ndani ya dkk 15 tutakuwa 2-0
Ikifika dk 45 itakuwa 2-6
costa hachezi leo wakuu, pale mbele yupo germany machine shurle