Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1-1
Man U yoso vs Chelsea ngangari
ila tupo pale kileleni Malafyale hatujafungwa msimu huu(sizungumzii magoli kupita nyavuni tukapoteza mechi),hakuna mechi hatujachukua points mpaka sasa,point moja ni point kubwa sana ila kufungwa ni aibu.

mtacheza sana kitorondo mwaka huu bila kupenda
 
Last edited by a moderator:
Leo tunashusha Kichapo kwa Man Utd then tarehe 8 mwezi ujao tunakwenda kushusha Kichapo kwa LFC...!

Hii Ndio Chelsea bhana......!

Nilikwambia tubet ukawa kimya...pamoja na beki yetu dhaifu mmeshindwa kutufunga? Sasa baada ya January kununua CB, tunakuja kuvunja daraja..
 
naona mmefurahi kweli leo..
 
Mouthrinho anapaswa kuelewa kuwa mpira wa sasa siyo wa zile zama za kupata goli 1 kisha unaingiza wakabaji ili kupaki basi.
 
naona mmefurahi kweli leo..

Saaaaanaaa….maana nyiye na mpiga domo wenu mkuu, Maureen mlileta dharau mkadhani ni mteremko…na mna bahati sana nyie….vilevile kufurahi kupata point katika dakika ya lala salama, katika game ambayo mlikuwa mfungwe kuna ubaya? Acha ushirikina chifu….hata ungekuwa wewe ungefurahi...

Manchester United 1 - 1 Chelsea Match stats - 26/10/2014 Premier League - Goal.com

Man Utd v Chelsea - 26th Oct 2014 | Stats | Barclays Prem | Sky Sports Football

Stats don't lie…mmeponea chupuchupu...
 
Stats don’t lie…mmeponea chupuchupu...

RVP
"Today showed everyone that we can compete
with the best in England"
 
Najua goli la dakika ya 94 la RvP limewauma balaa…

Stats don't lie...

B05IMt1IgAAmuKw.jpg

B05IMtmIcAIyD48.jpg
 
RVP
"Today showed everyone that we can compete
with the best in England"

Given the fact that United isn't the best at the moment, due to the back line problem….

Getting a point at the moment where every opposition fan expected a thrashing is something worth celebrating..
 
Ulikua mdogo km Piriton.....! Hongera kwa kupata draw...!

Saaaaanaaa….maana nyiye na mpiga domo wenu mkuu, Maureen mlileta dharau mkadhani ni mteremko…na mna bahati sana nyie….vilevile kufurahi kupata point katika dakika ya lala salama, katika game ambayo mlikuwa mfungwe kuna ubaya? Acha ushirikina chifu….hata ungekuwa wewe ungefurahi...

Manchester United 1 - 1 Chelsea Match stats - 26/10/2014 Premier League - Goal.com

Man Utd v Chelsea - 26th Oct 2014 | Stats | Barclays Prem | Sky Sports Football

Stats don’t lie…mmeponea chupuchupu...
 
Ulikua mdogo km Piriton.....! Hongera kwa kupata draw...!

Ni kawaida yangu, ni kawaida ya United….sisi si wapiga domo kama Chel$ki$ na mpiga domo mkuu Maureen, aliyekuwa mdogo kama piriton baada ya RvP kutupia dakika za lala salama, au Fergie time, kama zinavyojulikana pala OT..

Karibu utushangilie next week pale Etihad, najua utakuwa upande wetu kinafiki ili eti tumpunguze spidi Shitty kwa jili yenu...
 
Kz ya kuusaka ubingwa inafanywa na Timu yangu sio kuombea mpk Timu Fulani ipoteze au ishinde...! Man city akija darajani nampiga alkadhalika na wewe pia....! Ushinde au usishinde kwa Man City hiyo mie hainisumbui..!
 
Sawa chifu…nafahamu kwa kupiga domo sikuwezi, maana mna master wa wapiga domo…alamsiki
 
Kilicho mbele yeti ni kuusaka ubingwa...! Sasa tuusaka kwa kuombea Man Utd aifunge Man City kweli? Hapana..! Hapo tutakua tunachekesha....! Sisi tunapambana wenyewe.... Km Leo tulivyokubana mpk ukaambulia draw..!

Anyway..! Usiku mwema mkuu..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom