Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

rudi kwenu kyela ukavue samaki.

mechi yako vs Hull City umecheza kwako nyumbani unashindwa kufunga hata goli 1.

sisi katika mechi 9 tulizocheza; tumeshinda 7, na tumetoka sare 2.

wewe uko wapi? Balotelli..mkubwa wee.

Mechi moja tu imebaki nyie kupata points nayo ni QPR kwani baada ya hapo ni kipigo tu!

Hauna team
 
PREMIER LEAGUE ni ligi bora Duniani; lakini marefa wa hii ligi ni wa kawaida sana..

inasikitisha; ..but TUKO JUU BADO.
 
PREMIER LEAGUE inaharibiwa na maamuzi ya hovyo na ya kishabiki ya marefa...unapokuwa na njano 6 unaweza kucheza mpira?

wachezaji wa Man Utd wanacheza mchezo wa kukumbatiana;..

CHELSEA FC - 23.

Nilikwambia tubet ukawa kimya...pamoja na beki yetu dhaifu mmeshindwa kutufunga? Sasa baada ya January kununua CB, tunakuja kuvunja daraja..
 
Mechi moja tu imebaki nyie kupata points nayo ni QPR kwani baada ya hapo ni kipigo tu!

Hauna team

Tulikwenda Kwao Man City tukapata draw lkn wewe ulipita Hapo ukapigwa vibaya....! Jana tulikua kwa Man Utd wao ndio wamepona kupata hiyo draw...! Kwasababu Chelsea kwa ujumla haijapendezwa na matokeo hayo. Tarehe 8 nakuja kwako kibonde loserfool yani nakupiga km nimelala vile!!!!
 
PREMIER LEAGUE ni ligi bora Duniani; lakini marefa wa hii ligi ni wa kawaida sana..

inasikitisha; ..but TUKO JUU BADO.

Jose amesema hataki kuongelea Hilo kosa la refa kwasababu atasema mengi sn...!
Refa wa Jana kafanya makosa sn kuwapatia Man Utd ile Foul na kutoa kadi kwa Ivanovic wakati hakumgusa Hugo Di Maria...!
 
nilisema taratibu tutaheshimiana tu....kuna wataalam wa soka humu walikuwa wanasema watakuja old trafford leo na kutupiga goli nyingi sana....ironically chelsea wanalia na refa bila kuangalia hali halisi, kadi gani ya njano pale sio sahihi??

ivanovic kamtrip di maria kiujanja as if bahati mbaya lakini refa alikuwa mjanja kuliko yeye...matic amecheza fouls nyingi sana ndogo ndogo na ndio maana kapata yellow, fabrigas kacheza foul ya kimpira kustop counter attack ndio maana wala hakulalamika kupewa yellow...ya drogba wala sisemi wote mmeona sasa kuna yellow gani sio halali??? ya rafael straight foward wala haina mjadala,nashangaa hazard hakutumia hio kumsumbua tena rafael....

timu kubwa zikikutana hata kama mmoja ni mbovu inakuwa mechi ngumu...kila mtu anabana,vile vile hata kama timu moja ni mbovu kuna respect fulani tofauti na ukicheza na timu ndogo wanakuvamia tu, ni ngumu sana kucheza na akina leicester wakati uko vibaya kuliko timu kubwa....

anyway test yetu kubwa ya kwanza tumepass[yes tumepass coz chelsea wako vizuri draw is a good result], inakuja ya man city jumapili ijayo i hope hii tutapass pia...sitajali tukipata draw hata game hii
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Kwanini hakutoa Penalty wakati Chris alipomuangusha Ivanovic ndani ya box? Na Kwanini aje atoe foul kwa Di Maria wakati hakuguswa na Ivanovic na hiyo foul ikazaa goli na Ivanovic kupata kadi nyenkundu?
 
tumenyang'anywa ushindi wetu jana. lkn pamoja na kwamba hatukutakiwa kushinda, ilibidi itumike nguvu ya ziada kutuzuia tusiondoke na point zote 3 maana tulishawahakikishia kuwa kimpira tuko juu na tutaondoka na point zote 3, pamoja na kunyimwa penati nk. lakini kitu kikubwa ni kuwa bado tuko juu na tutazidi kuwaacha wengine kila wiki, pamoja na mikakati ya kutukata spidi. na hizi za marefa tutaendelea kuziona kila wiki.
 
Kwanini hakutoa Penalty wakati Chris alipomuangusha Ivanovic ndani ya box? Na Kwanini aje atoe foul kwa Di Maria wakati hakuguswa na Ivanovic na hiyo foul ikazaa goli na Ivanovic kupata kadi nyenkundu?

teh teh teh teh kwa jinsi mlivokuwa mnajiamini sikutegemea kwamba mechi ingeisha na nyinyi kulia lia kupewa penati.... ivanovich na smalling had a wrestling match and ivanovic came out second best!!! the same applies to john terry vs rojo

chelsea is a physical side unfortunately yesterday we matched u pound for pound...u couldnt bully nobody as predicted by many 'specialists'!!! kuhusu di maria kutokuguswa ni maoni yako na yanaheshimiwa lakini the ref didnt see that way!! we bossed the game stats prove that and a draw is a fair result....
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Jose amesema hataki kuongelea Hilo kosa la refa kwasababu atasema mengi sn...!
Refa wa Jana kafanya makosa sn kuwapatia Man Utd ile Foul na kutoa kadi kwa Ivanovic wakati hakumgusa Hugo Di Maria...!

Mechi ijayo utachezesha ww
 
teh teh teh teh kwa jinsi mlivokuwa mnajiamini sikutegemea kwamba mechi ingeisha na nyinyi kulia lia kupewa penati.... ivanovich na smalling had a wrestling match and ivanovic came out second best!!! the same applies to john terry vs rojo

chelsea is a physical side unfortunately yesterday we matched u pound for pound...u couldnt bully nobody as predicted by many 'specialists'!!! kuhusu di maria kutokuguswa ni maoni yako na yanaheshimiwa lakini the ref didnt see that way!! we bossed the game stats prove that and a draw is a fair result....

Hakuna anaelialia ila tunasema ukweli kwamba refa kafanya makosa...!

Ndio tunajiamini na muda wote tuko hivyo kwasababu tunaweza..... Na kupata draw kwetu Sisi ni sawa na kupoteza ndio maana ata Chelsea yote kwa ujumla hawakufurahi kupata hiyo sare....!

Utakuja darajani tutamaliza ubishi..!
 
PREMIER LEAGUE inaharibiwa na maamuzi ya hovyo na ya kishabiki ya marefa...unapokuwa na njano 6 unaweza kucheza mpira?

wachezaji wa Man Utd wanacheza mchezo wa kukumbatiana;..

CHELSEA FC - 23.

hivi unacheza rafu unategemea nini? msimu uliopita tulipata penati tatu agaist man u, na nikweli walicheza rafu, hivi timu ikiwa inafungwa magoli mengi unataka refa akatae magoli hata kama ni ya halali kwa kuhofia wanaofungwa watashindwa kucheza?
 
Mechi moja tu imebaki nyie kupata points nayo ni QPR kwani baada ya hapo ni kipigo tu!

Hauna team

wewe utakuwa umelaaniwa na aliyekulaani alishakufa hivi kwa akili yako unadhani chese kupata point 23 mpaka sasa anabahatisha
liver mwenye point 14 ndiye habahatishi chese kumufunga liver next match ni sawa na kumsukuma mlevi mark my word
 
yaani man u wanavyoshangilia hiyo droo kama wamesihnda, sisi mbona hatunaga hizo mbwembwe, halafu mashabiki wa arsenal na man u wana kelele sijui kwa nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom