Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA FC - THE BLUES.

hadi sasa:

Mechi 3 za UCL: D W W.
Mechi 8 za EPL: W W W W W D W W.
Mechi 1 ya CAPITOL CUP: W.

Hadi sasa CHELSEA FC imecheza mechi 12. bila kufungwa..MWANZO MZURI.
 
Chelsea fc - the blues.

Ucl standing.
1.chelsea fc.
2.shalke 04.
3.maribor
4.sporting cp
 
Chelsea fc - the blues

premier league.

1. Chelsea fc.
2. Man city fc.
3. Southampton.
4. Westham united.
 
Mtu mzima huna busara?

wewe ulicheza na timu ya Bulgaria ukashinda 2-1 kwa shida..

tuache wenzio tule raha. Utakufa kwa wivu..

Marbor ni team ya kushangilia kuifunga kweli?Kaa kwenye TV yako uone mechi ya ukweli ya MAJOGOO kesho!Eti Marbor ehehehehe
 
hajatukanwa mtu mkuu; huyu Malafyale tumetoka naye mbali sana...huwa akijisahau tunamrudisha njia kuu. Si unaona mwenyewe katulia tu?

Anajua agosti 8 ni nani...

cc. Ntuzu, Mentor, Mosdef

jamani tusitukanane. hakua haja ya kutukanana na vibonde. tutawapa point ambazo tayari washazipoteza nyingi viwanjani. tuwaache vibonde na vilio yao manake wana maumivu ya vingi
 
Mtu mzima huna busara?

wewe ulicheza na timu ya Bulgaria ukashinda 2-1 kwa shida..

tuache wenzio tule raha. Utakufa kwa wivu..

Agosti bana naona jana na leo umeamua kutumia lugha za kukera dhidi yangu!

Tujadili soka kwa lugha za staha ndiyo inanoga!Marbor siyo team ya watu kuingia mitaani kushangilia ushindi
Mentor na Ntuzu ahadi yangu ya kreti ya Serengeti hata mkipata sare OT Jumapili ipo pale pale
 
Last edited by a moderator:
Manumbu lugha anayotumia agosti 8 dhidi yangu siyo ya kiuungwana!Mm ni mtu wa soka sana so nachukulia hii kama changamoto tu!

Manumbu jiandae kilio Jumapili!Falcao hakuachi
 
Last edited by a moderator:
You are pushing me to the limit. this is my last warning to you friend.

kumbuka nyie kwenu LFC huwa mnakuwa wakali na hamtaki kukosolewa isipokuwa Mosdef;

wewe ndo umeanza mambo ya kukera; ungekuwa unaonge mpira usingekuja na kudharau ushindi wetu wa 6-0.

hata hivyo kumbuka BR ni mwanafunzi wetu.

pole kama nimekukwaza..lakini ukitulia tutaongea mpira; and u know me..

Manumbu lugha anayotumia agosti 8 dhidi yangu siyo ya kiuungwana!Mm ni mtu wa soka sana so nachukulia hii kama changamoto tu!

Manumbu jiandae kilio Jumapili!Falcao hakuachi
 
ANGALIA HUYU JAMAA ANAVYOKERA; mechi vs CP tulimiliki mpira kwa zaidi ya 70% tukiwa ugenini.

acha kupotosha watu; au ndo unachangamsha jukwaa??

Huwa mna anza hivi hivi baadae huwa kwishney nyie kama mlivyo cheza hovyo na CL!

Frazier Campbell angekuwa makini angetupia 3 dakika 20 za kwanza!Nafasi kama zile Coutihno au Dan au Sterling hawezi kukuacha!

Ww nakupiga kiurahisi tu Anfield
 
Mwaka jana tulifika hatua gani kwenye UCL? na wewe ulikuwa wapi?

U r article makes me laugh,Why you crank up my ribs man?!Chelsea ya beki Cahil na Terry wanafikiria hata kucheza fainali CL?

This is more than a joke buddy!Mkivuka hata group stage mshukuruni Mungu
 
You are pushing me to the limit. this is my last warning to you friend.

kumbuka nyie kwenu LFC huwa mnakuwa wakali na hamtaki kukosolewa isipokuwa Mosdef;

wewe ndo umeanza mambo ya kukera; ungekuwa unaonge mpira usingekuja na kudharau ushindi wetu wa 6-0.

hata hivyo kumbuka BR ni mwanafunzi wetu.

pole kama nimekukwaza..lakini ukitulia tutaongea mpira; and u know me..

Shemeji nakusalimu..
 
CHELSEA FC - THE BLUES.

hadi sasa:

Mechi 3 za UCL: D W W.
Mechi 8 za EPL: W W W W W D W W.
Mechi 1 ya CAPITOL CUP: W.

Hadi sasa CHELSEA FC imecheza mechi 12. bila kufungwa..MWANZO MZURI.

pamoja sana mkuu agosti 8...hz ni salama tosha kwa mashetani mekundu siku ya jumapili...waanze kutia maji. mpaka dk ya 80 morinyo atakuwa amempa mkono LvG na kuondoka kiwanjani...takuwa kamaliza kazi tayari. hahahahaha!!
 
Last edited by a moderator:
Agost 8 huyu Malafyale ni wa kuhurumiwa zaidi. ndicho anachostahili. sasa ndg yangu sikio la kufa unahangaika nalo la nini? tayari yye keshajijua ni looser na hana chake. he is fighting to rescue hadhi yake ili asionekane mwaka jana alibahatisha. but ukweli unabaki kuwa ukweli. kuwa mwaka jana asingepewa mbeleko, ile nafasi ya 2 angeisikia tu. na ndio maana kila kitu hadharani sasa. hawezi kumaintain hata alichoki achieve mwaka jana. ndo matatizo ya kubebwa manake binafsi unakuwa huna both infrastructure na superstructure ya kukuweka juu. tazama watu wasiobebwa wanavyokuwa constant au kupanda viwango. so mwache tu na maudhi yake. usitengemee any support wa timu 19 zilizochini yetu akatu support. huyo atakuwa very objective na mtu wa mpira. hawa akina malafyale wanazi nazi tu hawa watapiga kelele tu na kama ujuavyo kelele za chura hazitunyimi usingizi katu. sie tuna strategy yetu ya kuchukua makombe at least 3 mwaka huu na that shall stand. na kuonesha kuwa hatutanii, gap kwenye premier litazidi kuongezeka to 7 points this weekend, baada ya Man Useless kushushia nusu ya kipigo cha jana!
 
maneno ya kukera kutoka kwa mshabiki wa LFC.

BALOTELLI..

Mkuu agosti 8 chukulia rahisi mkuu na umuache Huyu ndugu yetu Malafyale alete hayo maneno yake Ambayo anayaita changamoto...! Sisi hatuongei sn mkuu vitendo vya timu yetu uwanjani vinajionyesha vyenyewe...!

Ktk Uzi wao kule wa LFC ni wakali kweli tena wepesi wa kutoa lugha chafu sn...! Mi nakuomba mkuu muache Huyu kijana ajifariji Lkn akae akifahamu kuanzia Leo anapigwa na Mzee Ancelotte na tarehe 8 next month tunakwenda kumpiga hapo hapo kwake Ndio atajua Kocha wake na timu Yake ni boya......!
 
Last edited by a moderator:
Malafyale unajua fika kuwa kwnye mechi kubwa ndio Chelsea hufaynyakweli. utashangaa Falcao siku hiyo atakavyokuwa galasa wala mipira haipati. So wala hatokuwa na madhara. Sanasana atashuka kusaidiana na beki zake! Manake hiyo presa ya Oscar, Willian, Hazard, Fabregas hawatoiweza Man U. Yani natamani siku ziruke tufike J2 kesho!

Manumbu lugha anayotumia agosti 8 dhidi yangu siyo ya kiuungwana!Mm ni mtu wa soka sana so nachukulia hii kama changamoto tu!

Manumbu jiandae kilio Jumapili!Falcao hakuachi
 
Malafyale unajua fika kuwa kwnye mechi kubwa ndio Chelsea hufaynyakweli. utashangaa Falcao siku hiyo atakavyokuwa galasa wala mipira haipati. So wala hatokuwa na madhara. Sanasana atashuka kusaidiana na beki zake! Manake hiyo presa ya Oscar, Willian, Hazard, Fabregas hawatoiweza Man U. Yani natamani siku ziruke tufike J2 kesho!

Jana Cahill hakucheza kabisa na hii ni kutokana maandalizi ya game ya j2..!

Na Costa hakucheza kabisa...!

Fabregas na Oscar walipumzishwa baada ya kuua mchezo...!

Kwahiyo Huyu yeye muache apige kelele tu Lkn hiyo J2 man Utd wanakufa nyingi tu..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom