J2 ifike mapema...!
Ivanovic anakosa goli la wazi kabisa hapa...!
J2 ifike mapema...!
Ivanovic anakosa goli la wazi kabisa hapa...!
Hawa Maribor kiwango chao kiko chino sn..! Chelsea km wanafanya mazoezi bhana....!
una matani wewe
mkuu fabrgas atacheza jumapili?
wamezidiwa tu leo ila wanaujua mpira
Yap Fabregas atakuwepo mkuu hiyo j2...!
eti wanasema ana kadi mbili za njano, man u bwana
hhhahahah . sheria inasema ukiwa na kadi 2 za njano unachagua mechi ya kupumzika ndani ya mechi 10 zinazofuata baada ya kupata kadi ya 2 ya njano.
Alipiga shuti la kufunga goli na kafunga goli Lkn akawa kaumia kwa kuupiga huo mpira. Nafikiri ni nyonga au misuri ya paja Ndio shida!
Terry anaipatia Chelsea goli la 3 ilikua ni counter attack moja safi sn..!
Chelsea 3 Maribor 0.