Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Crystal Palace ilikua lazima nimfunge tu mkuu..! Wewe mwenyewe umeiona hiyo game jinsi nilivyokua nimewazidi kila kitu..! Alafu majembe yangu niliyapumzisha..!
Vp wewe QPR walivyokutoa jasho..???? Khe Khe Khe Khe..!
Kocha wangu alitereza kidogo kwa formation ya ajabu kipindi cha kwanza!!Lkn unaona alivyokuja na diamond tulivyo wapa shughuli QPR?
Wewe unaanza poteza points kwa Man U na mm nakuchapa saafi kabisa