Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
chelsea wametangaza kuwa CEO Ron Gounlay amemaliza muda wake aliokaa hapo stamford bridge kwa miaka kumi akianza kama chief operating officer....ameiweza chelsea kufanikiwa kwenye deals nyingi za klibiashara ikiwemo ya adidas kwa pauni mil 300 sasa mikoba ataichukua kwa muda mwanadada Marina Granovskia huyu binti alikuwa PA wa the Boss Abromovich na mwaka jana alipanda cheo na ndiye alimpatia contract Terry asign kiufupi ukimess up na huyu bidada your are finished Abromovic anampenda kama hela