Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jumamosi tunacheza na vijana wengine wa LONDON ..Crystal Palace..tuwafunge tufikishe pointi 22.

mkuu walitupokonya point hawa msimu uliopita.. inabidi tuwe makini sana. Ila spurs hana uwezo wa kumfunga mancity, yaani ikitokea siku spurs akafungwa na chelsea akashinda nitafurahije .
 
Mimi nafikiria mechi zetu tu; mambo ya timu nyingne kufungwa au kushinda si juu yetu hata kidogo. Tayari tuko mbele yao kwa pointi 5. Muhimu kwetu ni kushinda mechi zetu.

pointi 22 ni muhimu sana kwetu.

CHELSEA FC - FOREVER BLUE.

mkuu walitupokonya point hawa msimu uliopita.. inabidi tuwe makini sana. Ila spurs hana uwezo wa kumfunga mancity, yaani ikitokea siku spurs akafungwa na chelsea akashinda nitafurahije .
 
hawa tutawaondosha tu yaani watambue kuwa tutawabamiza 4:0 ili wakapumzike
waone kuwa sie ndio vidume halisia si mchezo hatutaki utani hasa tukiwa kwenye game
Jumamosi tunacheza na vijana wengine wa LONDON ..Crystal Palace..tuwafunge tufikishe pointi 22.
 
CHELSEA FC - FOREVER BLUE.

timu pekee ambayo haijafungwa mechi yoyote ya mashindano katika msimu huu.
 
tutatumia mfumo wetu tunaotumia tunapocheza ugenini; 4-3-3.

ikileta shida tutarudi kwenye kawaida yetu 4-2-3-1{costa} anasimama peke yake kule mbele.

la muhmu ni kufkisha pointi 22 kesho.

CHELSEA FC.
 
Tuna hasira na hawa crystal palace. ni moja ya vitimu vilivyotutibulia ubingwa msimu uliopita. the wrath ya Maurhino lazima iwashukie this time around. Target kuu ni kutangaza ubingwa by March 2015 ili tuweke nguvu zaidi ktk kumkabili Real Madrid fainali ya Champions League
 
Jose Mourinho says he believes Liverpool were everyone's favourites to win the Premier League last season, until Chelsea's refused to play their part as 'clowns at the circus' and ruined the day.
Brendan Rodgers' were leading the Premier League ahead of the visit of the Blues, but lost 2-0 after a Steven Gerrard mistake.
And Mourinho, speaking to Gary Neville in the Telegraph, says he told his players that they 'were to be clowns – this is the circus' to fire them up at Anfield.
'I felt during part of last season that the country wanted Liverpool to be champion,' he said.
'The media, the press: a lot was to put Liverpool there. Nobody was saying they were in a privileged situation because they didn't play Champions League.
'Nobody was speaking about a lot, a lot of decisions that helped them win important and crucial points. And I felt that day was a day that was ready for their celebration.
'I used the word with my players. I said – we are going to be the clowns, they want us to be the clowns in the circus. The circus is here. Liverpool are to be champions.'
Mourinho wasn't having that, and was further fired up when he found out that Liverpool had refused to move the game.
Chelsea were due to play in the Champions League the following Wednesday and wanted to play Liverpool on Saturday, but were told that they could not re-arrange the fixutre.
Mourinho says that when he found out that it was Chelsea's opponents, rather than Sky, who insisted the game was on Sunday, it gave his team extra spirit.

cc. agosti 8 Ntuzu Malafyale
 
Last edited by a moderator:

U r article makes me laugh,Why you crank up my ribs man?!Chelsea ya beki Cahil na Terry wanafikiria hata kucheza fainali CL?

This is more than a joke buddy!Mkivuka hata group stage mshukuruni Mungu
 
Mourinho asante kwa hii clip. nakubaliana kabisa na assessment za special one. binafsi last season niliwahi kupata hisia kama hizo kuwa Liverpool walitakiwa kubeba ubingwa. walibebwa sana kwenye some of decisions kuwapa ushindi Kulikuwa na hulka kuwa ndio English club iliyobaki. Nilifurahi sana tulipowapiga kwao tena kwa mistake ya muingereza wao kiongozi Steve Gerrald

Jose Mourinho says he believes Liverpool were everyone's favourites to win the Premier League last season, until Chelsea's refused to play their part as 'clowns at the circus' and ruined the day.
Brendan Rodgers' were leading the Premier League ahead of the visit of the Blues, but lost 2-0 after a Steven Gerrard mistake.
And Mourinho, speaking to Gary Neville in the Telegraph, says he told his players that they 'were to be clowns – this is the circus' to fire them up at Anfield.
'I felt during part of last season that the country wanted Liverpool to be champion,' he said.
'The media, the press: a lot was to put Liverpool there. Nobody was saying they were in a privileged situation because they didn't play Champions League.
'Nobody was speaking about a lot, a lot of decisions that helped them win important and crucial points. And I felt that day was a day that was ready for their celebration.
'I used the word with my players. I said – we are going to be the clowns, they want us to be the clowns in the circus. The circus is here. Liverpool are to be champions.'
Mourinho wasn't having that, and was further fired up when he found out that Liverpool had refused to move the game.
Chelsea were due to play in the Champions League the following Wednesday and wanted to play Liverpool on Saturday, but were told that they could not re-arrange the fixutre.
Mourinho says that when he found out that it was Chelsea's opponents, rather than Sky, who insisted the game was on Sunday, it gave his team extra spirit.

cc. agosti 8 Ntuzu Malafyale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom