Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

10670216_829399093785674_7088021022225933594_n.jpg
 
man u nampiga 3-0 tuu kama kawaida costa 2 ilo moja atapiga harzad
 
[h=1]Fabregas on Eden Hazard: ‘He is our Messi’[/h]“Hazard has that incredible ability to unsettle the opposition. He is the link between midfield and attack for us; he is our Messi because he makes the difference.”

Fabregas Kafananisha bodaboda na Range Rover SS hapo naona!

Messi akisoma habari hii atachukia sana nahisi!Huko ni kumvunjia heshima Messi bana
 
Fabregas Kafananisha bodaboda na Range Rover SS hapo naona!

Messi akisoma habari hii atachukia sana nahisi!Huko ni kumvunjia heshima Messi bana

ulitanga amfananishe na mvuta bange balotel .......

Grand PA
 
ulitanga amfananishe na mvuta bange balotel .......

Grand PA

Messi vs Ronaldo kwa mbali anakuja Muller!

Then Frabr wenzake ni akina Nasri na Henderson

Sio akina Messi bana hao daraja la juu kabisa kwenye soka wkt Fabr is an avarage player
 
Messi vs Ronaldo kwa mbali anakuja Muller!

Then Frabr wenzake ni akina Nasri na Henderson

Sio akina Messi bana hao daraja la juu kabisa kwenye soka wkt Fabr is an avarage player

bold hahahaha ............ huyo bado sana! hata huyo muller huwezi ukamfananisha na hazard coz huyo anajua kufunga tu hana kingine! timu ikizidiwa hawez ku2mia juhudi binafsi. Nasri zamani! kidogo ungesema Roben ungeeleweka.

2kiachana na messi na cR7,unafikir wanaofuatia kw kudribo na kukusanya kijiji wanafuatia akina nani?! ....... kama siyo haz10 basi roben!

Grabd PA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom