Mpira magoli kaka..Hayo mengine ni yale ya 'japo watufunga lakini chenga twawala'..Chelsea ndo timu ya kuogopewa aisee na si hao Man utd
Mkuu Balatanda,
Najua mpira ni magoli.......mkuu......lakini nilivyoiona gemu.......kuna bahati pia
Mpira magoli kaka..Hayo mengine ni yale ya 'japo watufunga lakini chenga twawala'..Chelsea ndo timu ya kuogopewa aisee na si hao Man utd
ohoooooooooooo goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal! midomo wazi! maneno ya wakosaji! eti offside!
Ndivyo walivyo. Hata tushindeje lazima kutakua na kama hawa.
Hata hivyo mimi naendeleza libeneke..today is our day!
sasa hii mechi ya emirates tarehe 29 inabidi vijana wangu wacheze kufa na kupona.i hope varmelen atafuta uteja kwa drogba manake jamaa katutesa sana yule.
....aaarrrggghhhh 😡 hawa 'manure' wameniudhi sana leo!...
tuangalieni tar 29 mpira utavyochezwa.
Vijana kazi nzuri ila game ilikuwa tait kiukweli Man U walikuwa vizuri sana leo.